TAZAMA!! Fursa Za Kazi Kwa Watanzania....

preview_player
Показать описание
TAZAMA!! Fursa Za Kazi Kwa Watanzania....

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni Ya Huduma Za Meli Mr. Erick Hamis amefanya ziara pamoja na timu ya wakuu wa idara wa ofisi yake na kujionea maendeleo ya utekelezaji miradi Ziwa Victoria.

Huu ni utaratibu aliojieekea nje ya taarifa kila siku, kuwa kazi yake ni kutemberlea miradi hii kila baada ya mwezi akiambatana na timu yake ili kuona tofauti, lakini pia kupima kasi ya mkandarasi kutekeleza miradi hiyo.

#WAKANDARASIKAZINI

Рекомендации по теме