VIJANA WAENDELEA KUPATA AJIRA NJE YA NCHI KUPITIA WAKALA WA BRAVO,CHANGAMKIENI FURSA...

preview_player
Показать описание
#kaziiendelee
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Napenda kuwatakia mafanikio, uvumilivu na subra, tumtangulize mungu kwa kila jambo

ZATIUNISaidi
Автор

Mungu atupe uvumilivu tuchaguliwe na interview iwe nzuri vijana ni wengi wanaohitaji kufika malengo

japhetchirimi
Автор

Tumefanya maombi mwez 9 2022 hadi leo majibu bado. Miez 7 sasa

albertcharles
Автор

Saudi Arabia amna ishu acha kutushawishi bhana mi nchi ya waarabu Aina ishu

MAISHAYACROATIA
Автор

Bravo ipo sehemu gani naitaji tafadhali

luciadaud
Автор

Wafanya kazi wa bravo ni wajeuri Abbasid aliangalie aliyowaweka ofisini

wanatangawaja
Автор

Mimi nataka nijuwe coast kwanza na vitu unavotakiwa kuwa navo

KidawaOthman
Автор

Dada Kama unaitaji kazi zandani napataje connection maana wengine hatujui tunaanzia wapi

ZIADAKASIM-fqxe
Автор

Tujibuni iko wapi hiyo kampuni naona hmn hata mawasiliano

nasrimbaraka
Автор

Ninatafuta kazi kama nafasi zipo au zitatoka naomba

JacklineLucas-ozye
Автор

Waislamu tupu duu hii hatari hata kujistukia hakupo

issotv