Hizi ndizo Kampuni Zinazoajiri na kutoa Visa na Usafiri Bure UK

preview_player
Показать описание
Nimekuwekea Link zote za makampuni hapa
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

❤nimependa sana hiyo ishu ya kazi Mimi nataka ya kulima

Erasto.LuhazaEmakulataerastolu
Автор

Thanks to share with everyone good job

beatricejudith
Автор

Asanteee sanaaa kaka yangu Mungu akubariki sanaaaa

Priscakihiyo
Автор

ahsante mkuu mungu akulipe kila hitaji lako la moyo

AhmedHamud-bmkz
Автор

Wachache sana wanaotoka na kuwakumbuka wengine, hongera sana kaka

barakagwamikiko
Автор

Asante kaka waoweza kuandika hivyo naomba msaada

ZawadiElisha-gc
Автор

Na vip kuhusu accommodation, food and other social services? @Dennis Magessa

soltv
Автор

Tupo pamoja Mr. Dennis. Magesa., upovizuri

yahayahanafi
Автор

Aise kaka ubarikiwe sana kwa huu msaada wako kaka

mwinjilistigodvoicemshanga
Автор

Asante bro tueleze tujikomboe kimaisha

SaidHaarith
Автор

asante sana kaka nimesub kukomenti na kushare God bless you

peterkaili
Автор

asante sana kwa kutuelewesha kaka lakin kaka na mm nataka kuja

AishaTumaini
Автор

Naendelea kufatilia video zako kiongozi

Bari
Автор

Tukitaka kumuunga mkono dennis magessa ni kwenda kwenye group lake la whatsapp ili kumpa moyo

careenevance
Автор

Jambo jema kaka unayupa fursa maana kuna matapeli wengi wa nachukua pesa nyingi kwa watu

emmakimario