Huyu ndio mfalme mpya wa simu za Android, Samsung s22, Pixel 7, Xiaomi, wote wamekalishwa!

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunao tumia vivo tunakuelewa broo true

aminaballong
Автор

Me sijawahi penda simu nje ya Sony na Huawei

amanijampion
Автор

Brother mm nipenzi San wa vivo hawajam ni noma San mm natumia vivo x60 pro camera noma san

michaelipius
Автор

Sasa Sim ya laini Mbili utakuj kufananisha na Sim za Laini 1...kwanza wew unatumia cm gan?

ginimbifamily
Автор

Dunia hii ata itoke cm gani mm iPhone 📱 ❤

maulidhamad
Автор

Dunia itaisha Samsung hazidi kwa hao washenzi wengi ila iphone ni simu ya mster kutumia tu.

ismailmenk
Автор

Brother iphone ni biashara nyingine. Camera ya Iphone miaka 200 haipotezi quality yake kbs. Samsung na simu zingine camera zao zinatabia ya kupoteza quality ukitumia kwa muda flani. Me napenda sana samsung na ndo simu zangu na nimetumia iphone, sony, oppo na zingine ila iphone nimemkubali kwenye camera yan hata ipite miaka 10, quality ya camera ipo vilevile tofaut na simu zingine camera hufifia ubora baada ya muda.

URRR.CRISTIANO
Автор

@MKBHD once said top notch specs doesnt make a phone great....still when it comes to Android...Pixel 7 Pro is way above the rest...

louisngaiza
Автор

Ni kweli vivo ni simu bora lkn vivo gani??Mana ukiikuta bongo hujue hamna kitu hapo??

miltonmachage
Автор

Tutafutien bei tuanze kujivhangaaaa, na mapemaaa

sakaraboy
Автор

Ata kutoke www vez sisitupo iPhone 14 pro tu hatujali 😂🔥🔥

tilaabien