MwanaFA - GWIJI ft Maua Sama & Nyoshi El Saadat (Official Video)

preview_player
Показать описание
#MwanaFA #Gwiji #NyoshiElSaadat #MauaSama #SlideDigital
(c) Slide Digital

MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS

Follow Mwana FA on;

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

dunia haitasimama ukigoma kutembea nayo... wapi likes za Mwana falsafaa🔥🔥🔥🔥

jeffmirror
Автор

Alie kujua kuwa nyosh el saadat kuwa kaimba sehem ndogo lakn kaua balaaa bas mlike hap

tiffahoffical
Автор

Sijui niombe like ama nicoment!!.... Aaaaah acha tu nicoment.. This a hit bro kuanzia legend mpaka Chorus imetisha hii ngoma... yani ni💥💥💥💥💥

charlesngombo
Автор

Tulio ludi tena baada ya mama samia kukazia mbwa mpumbavu ndyo anaweza bwekea ndege❤

benjaminimwalimu
Автор

"naota ndoto hazina rangi naamka mzito kwa wanaofikiria vizuri

barakangoli
Автор

You killed it papi. All the way from 🇰🇪.. Weka likes hapo chini mwanaFA fans 🙌🏾🙌🏾💯

ibrahimasuleyman
Автор

Bana congo 🇨🇩 piga like hapa twende mpaka nyumbani DRC

happyqueen
Автор

"Mbwa mpumbavu ndo anayeweza kumbwekea ndege".... Keeping the good music alive🔥🔥🔥🔥.. GWIJI kama GWIJI

benjamincharles
Автор

Akili yako mwanaFA inafaa kuongoza baadhi ya ofisi kubwa z kiserikari ebu vaa akili ya kanye west yakutaka one day awe prezidaaa ukishidwa basi usikose ubunge. (Ngma iko hot)

dannymusictz
Автор

Falsafa: kama ulishawahi kusukuma mlango uliyoandikwa VUTA gonga like hapa

evancetarimo
Автор

Mbwa mpumbavu ndo anaweza bwekea ndege 😆😆😆❣️❣️❣️Sema mm nampenda huyu kaka jaman .Dear lord bless him for me please 🙏🏻🙏🏻

jocelinejohn
Автор

Ngoma kali bro nipe like kama unamkubali mwana fa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

amidumahoro
Автор

Mungu wetu Halali, wala haendi rikizo, hatuchoki kumuomba, kudadeki Kamjibu Nay Wamitego “Mungu yupo wapi?

D-Man.B-Free
Автор

Ngoma kalii saan Mungu wetu halali
Kama na ww unakubali like hapa

theresiaamos
Автор

Mtu kwao mwenye wivu ajinyonge tanga kwanza na ubunge tutakupa binam wetu tanga

issamsumi
Автор

Atuachi kumuombaa gonga like apa kama umeiyelewa Gwiji twende sawa Ila mauwa umekuwa uwa la Jangwani uku umetisha uku Rose 🌹 wa jangwani

MajaxiFx
Автор

Yes, yes, yes, Jamani mimi nataka like 100 tu #FalsafaJr8

falsafayohana
Автор

Nimesha sukuma milango iliyo andikwaa vuta niamini na inafunguka..💯 kifo kiniuwe au maumivu yani komaze Ila upumbavu usini pumabze🏋️🤾💯 Shida hazi kwepeki

nikomwakalinga
Автор

Imagine FA ni boss wako afu unataka kufanyia ujuaji,
Hahahaha keep shining Hon, Deputy Minister Master mind, 007, Godfather

mzadomwongozo
Автор

"Tusha sukuma sana milango iliyo andikwa VUTA, niamini na

azizimwambasi