KAYUMBA - MAMA OFFICIAL AUDIO

preview_player
Показать описание
#KAYUMBA #MAMA #NEWSONG
#SUBSCRIBE
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii ndio bongo flavour....big up kayumba

madworld
Автор

Dar nyimbo zako unanikoxha kwel kiukwel n hatal huxuxan ngoma hy mama nampenda xana kulko ktu chochote hapa dunian

fikirikalinga
Автор

yani huu uwimbo nikisikiliza nataman nimpe mama zawad ya dunia.. love you

johjohns
Автор

Kayumba salute kutoka Kenya napenda nyimbo na kazi zako. Likes Za Kayumba kutoka Kenya

geofreyoduor
Автор

TEAM KAYUMBA.
Kama ww ni team kayumba dondosha yako like apo

mussaelias
Автор

We acha sijui kama naweza ichoka hii nyimbo kwakweli!! Mlioondokewa na mama nyote poleni sana ndugu!!!

JovinathaLucas
Автор

Asante sana sana hii nyimbo jmn I love you mama. Anna Nakupenda

annajohn
Автор

Nani Kama mama #kayumba katoto bro fresh Sana from 254

askofugenerallykenya
Автор

Hongera mamaangu kipenzi mungu akure maisha marefu yenye mafanikio

Mwana-du
Автор

Daaaah kayumba mwana mwimbo wako utia uchungu sanaa bro mungu akutunze kabsa kaka uzidi kutupa burudani mubashara shabiki zako🙏🙏🙏🙏

johlove
Автор

R.I.P MY LOVELY MAMA.... I LOVE YOU MY MAMA. KWA WALE WOTE TULIOONDOKEWA NA MAMA ZETU USISAHAU KUPITA HAPA NA KUMTAKIA MAMA YAKO PUMZIKO LA MILELE. SHUKRANI KAYUMBA KWA WIMBO MZURI. UTABAKI KUWA THE BEST KWANGU.

martinboniface
Автор

Hongera kayumba umeukonga moyo wng...coz nampenda mama

zaituniismail
Автор

Nampenda mama angu sana tu❤️❤️❤️ hakuna mwingine zaidi ya mama

jamilamasoud
Автор

kaka kayumba kwanyimbo nzuri nan kama mama

zanzi_
Автор

Kama una mpenda mama ako like apo ❤️❤️❤️😫🌹👏👇👇👇👇

chamtvonline
Автор

Tujuane wale tunao irudia zaid ya ×10 hii ngoma dah umefanya nikampigia mama ang sasahv

abrahmanhalilu
Автор

Nyimbo nzuri hongera Kayumba, na ubarikiwe pia

jamesgerald
Автор

Nyimbo bora sana inaleta furaha faraja simanzi na udhuni moja ya tungo ambayo inaliza wengi hasa wale ambao mama zao wapo makaburini wamelala milele kayumba anastshili zaidi ya heshima kupitia tungo hii

salimsajo
Автор

Nyimbo hii akiwa kaimba diamond or alikiba tukiongea mengine Leo nyimbo kali sana ila no promotion

richardngonde
Автор

Love mom, wewe ndio nguzo yang ishi miaka ming

anselimamillinga