Bahati Bukuku - Picha ya Mama (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music Video by Bahati Bukuku performing "Picha ya Mama" track number (2) from the Ep (DAWA YANGU).

For Skiza – Sms “Skiza 7302993 to 811”

Vodafone Users – Sms “11296931 to 15577”



Follow now Bahati Bukuku on Social Media



Digital Distribution by Ziiki Media.

All Rights Reserved (2023)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

My best gospel i love you maman ahsante kwa nyimbo nzuri ya elimu kwa sisi bado maman zetu wangali hai like kwa maman bukuku FROM CONGO SHABIKI WAKO NAMBA MOJA 🇨🇩🇨🇩💯💯

Baudouin-Tv
Автор

Kiukwel namshukuru mungu kwakua mama angu bado yuko hai ila huuwimbo unanigisa sana nikijalibu kuvutapicha kwawatu ambao hawana mama nawaombea sana mungu aendelee kuwapa nguvu nafalaja maana najua mnapitia kipindi kigum sana

habilmeshack
Автор

Wimbo umeniumiza sana, hongera kwa wale Bado mama zenu wako, wimbo mzuri sana usimyime bahati bukuku likes

BahatiJacinta-bxih
Автор

Mama ni mtu wa umuhimu kwa maisha ....wimbo mzuri kama mama ni wa muhimu kwako tumpe likes mtumishi wa mungu

mr.robert
Автор

Hongera sana Bahati kwa wimbo wenye ujumbe mzuri. Umeniliza wimbo huu maana cna picha ya mamangu mwee😭

tumwagileyona
Автор

Mwenyezi Mungu akubariki sana na zaidi mama Bahati, wimbo huu unatowa shauri kubwa kwetu sisi Wakristu, ila kuna tatizo kubwa kuhusu kinamama wengine ambao ni wachawi ama walozi, tumeonywa kiroho, na pia Roho Mtakatifu katufungulia ya kwamba kinamama wengine wana roho mbaya sana na zaidi kuliko hata Shetani, sababu wako kwenye uchawi, vipi mtumishi wa Bwana, tufanye jee hili tuweze kuwapa nafasi zao maishani mwetu huku wao wanatamani kututoa kama vile sadaka zinatolewa madhabahuni, umetushauri nini mtumishi wa Mungu ?

salvadorblaiseselemani
Автор

Nakupenda mama Mungu akupe maisha marefu hapa dunian, pia Mungu awape pumziko la milele wa mama wote waliotangulia mbele za haki.

LinnaLian
Автор

Ubarikiwe mtumishi umenikumbusha mama sikupiga naye picha 😭😭😭😭😭😭😭 niacheni nilieee Mimi 😭😭😭

KuvunaGonda-lf
Автор

When l listen to this song l remember my late mum, my mum died when l was 6, for those who still have parents cherish your mums, continue resting in peace mum

julietsaisi
Автор

Pia mimi sina picha yake sikumpata nae baba kafa mwaka wa 2023 pia picha yake sina lkn nikikuona naona kama ww ndiye mamangu kulingana na stori ninapatiwa na watu vyenye alikuwa you look like my mom❤❤

pricquekiura
Автор

❤❤❤❤🙏🏼 Nampenda mama yangu 🙏🏼 Ahsante kutukumbusha kuwatunza mama zetu, barikiwa mtumishi wa MUNGU ❤️🙏🏼

lucianachappa
Автор

Nice song from Bahati Bukuku. Umenifanya niendelee kum miss mama yangu mpendwa. RIP my mum. Wapendeni akina mama zenu still wakiwa hai

shaluamkumbo
Автор

Kenyans lets gather here...let's show love for our mum Bahati bukuku

dominicdomii
Автор

nampenda Sana mama Ila wimbo huu umenikumbusha kupiga naye picha listening from Tanzania

AlphonsinaHaule
Автор

Ma mère 😭😭😭 long vie à nos maman que Dieu les garder pour que nous aussi nous puissions prendre soin de eux Nani kama maman eshima kwa maman🙏🙏 merci beaucoup ma mère chérie que la grâce te localiser et que tu vives longtemps

SharryIlunga
Автор

Miaka saba sasa tangu mama angu anitoke lakini kupitia hii nyimbo nimemkumbuka sana mama yangu, endelea kupumzika kwa amani mama yangu

luciemichael
Автор

Eee Mwenyenzi Mungu nakuomba endelea kutulindia mama zetu ambao Bado wapo hai

annatarimo
Автор

Nikiskiliza nalia sina picha ya mama kwel 2024 ni miaka kum tangu ututoke

ElizabethJulius-ooez
Автор

Nakupa %100, , ya huu wimbo kwaware ambao tupo na wazazi wote wawiri tuwaheshimu wazazi jmn❤❤

NusuraRashid-hx
Автор

Wimbo mzuri sana hongera, ila naomba kutoa maoni kidogo,
Nyimbo nyingi ukizisikiliza kwa umakini zimekuwa na maudhui ya kuwatofautisha hadhi hawa wazazi wetu wawili, na wakati mwingine hata zinazomtaja baba ni zile za wababa waliokataa watoto kwa lengo la kumtetea mama pekee yake, ningependa wababa walioshindwa majukumu wasitumike kutoa taswira ya baba kutopewa heshima sawa na mama, tutumie taswira za baba zetu wale waliotunza familia zao kumpa heshima baba sawa na mama.

henrygwalema