KAYUMBA- MAMA ( OFFICIAL VIDEO)

preview_player
Показать описание
ITS ALL ABOUT LOVE TO MOTHERS. THIS IS DEDICATION TO ALL MOTHERS AROUND THE WORLD. I LOVE YOU MAMA( Hii ni Kwa ajili ya upendo mkubwa kwa Mama zetu, Kama unampenda Mama yako hii ni Kwa ajili yake) .Enjoy a Good Music From Kayumba.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

😭😭 I'm here 2024 listening to this song huku machozi yananitoka😭😭nikikumbuka mama yangu jinzi amenyanyaswa na watu wa familia kisa tu sisi maskini😭😭😭but in all she has never left us alone 🫂mama wherever you are I love you so much 💓 and I pray to God anilinde uku Saudia Arabia nimalize contract vizuri na nitimize ndoto yangu ya wewe kuwa na furaha milele🙏🏼🙏🏼🙏🏼😇😭😭😭😭😭😭

Shayonezippy
Автор

Hakuna kama mama yeye ndo kila kitu kwenye maisha yetu nakupenda sana Mungu akubariki uwe na maisha marefu💯💕

jovjyme
Автор

Wimbo Bora kuliko zote zimeimbwa kwajili ya mama ✌️✌️

henrietteselemani
Автор

Ushinde njaa me nishibe respect kwa mama wote gonga like mwanang 2024

phenwml
Автор

My best...wapi likes za MAMA...kama unafeel hii ngoma, ... piga like

mcabrahamomoding
Автор

Niushauri wangu wabule kwenu nyinyi mashabiki wenzangu wa kayumba, ifikie hatua msanii anapotoa nyimbo yenye kugusa maisha ya watu kamba hii tuchangishane humu humu mtandaoni ili tumpe kama zawadi kwakile kizur alichokifanya tusisubili mchango wetu uwe kile kingilio cha kwenye show yake, nawaomba wadau tumpe pongez kayumba kwakumchangia pesa uyo jamaa nyimbo zake zote zinagusa maisha ya kila mmoja wetu, ongera sana kayumba

utambevilla
Автор

Ukanyage miiba mi nipite, nikiuangaliaga huu wimbo na kusikiliza huwa nalia sana😭😭😭nakumbuka mama yangu nilivyokuuguza hadi ukanifia mama😭. R.i.p mama yangu ni mwaka wa 11 sasa🙏🏾🙏🏾

phiddeschacha
Автор

Nampenda sana mama angu😢mungu niwekee mama yangu milele na milele💕 Baba angu alimfukuza mama angu nikiwa na miezi kadhaa lakini mama angu hakuniacha aliangaika na mimi mpk hapa nilipo!! Nakupenda mama angu💕 mungu nipe pesa nyingi ipo siku nimuimbie mama angu hii nyimbo huku nikimtunza pesa na kumpa dhahabu!! Mungu nilindie mama angu💕

jamilakangezi
Автор

my mom she has been there for me since nikiwa mdogo, Nakumbuka Amepika maandazi toka ninaanza shule hadi ninamaliza chuo, ili mimi nisome, pesa ya kwanza kuja anza chuo aliuza miti yake ambayo mwanzo wakati aliipanda nilikuwa namkatalia nikisema sio kitu cha kutegemea lkn ndiyo iliuzwa na nikapata hela ya kuja anza chuo. Nimemaliza chuo akanipa pesa ya kuanzia kwasababu sina pesa tena toka serikali, na nipesa aliyokuwa akiipata kwa kupika maandazi. Leo kama ataumwa mm nitakuwa sababu ya kuumwa kwake nimemfanya ateseke maisha yake. I love you mom, nothing can come to your worth, my mother, you are unique and God bless you to live many years and see the success of your son.

danielmkinga
Автор

kama unampenda mama yako na unaamini kabisa mama ndo kila kitu kwako gonga like

raheemyusuph
Автор

Leo nimekukumbuka sana mama yangu Natamani ungekuwepo uone mwanao nimefika wap na kukumbuka sana Mama Mungu akupumzishe kwa amani na kupenda sana mama daima utaishi kwenye moyo wangu sintakusahau kamwe 😭😭😭😭

EdinaIsack
Автор

"Ulichana nguo ili unistiri mimi" ni maneno makubwa sana haya. Ukiyatafakari yanaliza kwa kweli. Tuwapende

stellamatemu
Автор

Wangapi wanasikiliza song huku wanasoma coment gonga like nice song am lisen again

mpokisanga
Автор

Kayumba katika watu ambao wanakufutilia mimi mmoja wapo ebu kama unamkubali kayumba kwa nyimbo yake inaitwa mama ebu weka like kwa kumsapoti msanii wetu wakitanzania

ramadhanihassanindevu
Автор

Sijawahi sikiliza huu wimbo nikashindwa kulia ...mama angu tumepitia mengi Sana mama nakupenda sanaaa😢... Nashukuru hukuwai nikatia tamaa kutokana na maisha tuliyopitia mama angu...NAKUPENDA KULIKO CHOCHOTE KWENYE HII DUNIA KIPENZ MAMA ANGU😭😭😢

charityemmanuel
Автор

Nasema tena asanti Mungu kwa kuwezesha wazazi wangu kunipa malezi ya kweli❤ na poleni kwa wote ambao mumewapoteza wazazi mapema Mungu awatie nguvu❤❤❤

chantalvumilia
Автор

Nyimbo itaishii miaka mingi sana had machoziii yanitoka kam nawewe umelia kama mimi like hapo

hiyginchuwa
Автор

Kayumba wengine unatuliza hatuna mama, nyie wenye mama watunzeni na kuwaheshim sana😔R.i.p mama yangu😢

magdalenalubaga
Автор

As long as your mother is alive - You have an extra reason to wake up and face the day ; Long live Mama, the name just below God.

christineochuchi
Автор

My mom pumzika kwa amani Usia wako ndio ngao yangu hakika kila nikikumbuka wosia wako napata fataja mnoo R. I. P my mom

jumakassimu