filmov
tv
Dada Joyce karibu sana kwenye mradi wetu wa @wadadacenter ambao una fursa za kutafutia mtaji
Показать описание
Dada Joyce wa “jina wangu” karibu sana kwenye mradi wetu wa @wadadacenter ambao una fursa za kutafutia mtaji 📌📌
Wakati umefika wa wanawake kufanya mageuzi makubwa ya kifikra kiuchumi ya kuziacha mila potofu na mitazamo hasi ya “UTEGEMEZI” kwa wanaume, tuchukue hatua ya kujikwamua kwa kutumia fursa zinazotuzunguka kujijenga kiuchumi ili tuweze kukabiliana na changamoto za umaskini zinazochochea sana ukatili na Unyanyasaji katika maisha yetu 👍🏽👍🏽
KWA WANAWAKE AMBAO HAWANA MITAJI YA BIASHARA, KARIBUNI WADADA CENTER TUNA NAFASI ZA KAZI ZA NDANI, KUISHI KWA BOSI, MISHAHARA KUANZIA 100,000 HADI 500,000 ELIMU KUANZIA DARASA LA 7 HADI CHUO. MAWASILIANO 0713137777👍🏽👍🏽
#KaziNiUtu
#wadadacenter
#wadadawakazi
#maidservicetz
#housemaidstz
#housegirlstz
#domesticworkerstz
#domesticworkersagencytz
#domesticworkersagencytz
@wadadacenter