Wema ni Akiba by Jennifer Mgendi

preview_player
Показать описание
Wema ni Akiba by Jennifer Mgendi

Follow me on;
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaroho ya chuma huwezi uelewa huu wimbo kabisa. Huu ni ujumbe mkubwa sana hasa kwa sisi ambao tunahofu ya Mungu haswa wema ni kila kitu ndugu zangu

PendoNgao
Автор

Ubarikiwe sanaa dada angu ujumbe mzuri sana

EdnaKipaen
Автор

Hakika ujumbe wa wimbo unatufundisha jinsi Tania ya Mungu ilivyo Basi tuiishi hiyi Amen

EVASAMWEL-pk
Автор

Huu wimbo umeniliza sana jmn nimejifunza kitu God bless you mum 🎉🎉

stellapaul-kryj
Автор

Wimbo huu hunipa fundisho lakumkumbuka mungu na kufanya mema ubarikiwe mtumishi kwa huu wimbo🎉

JoshuaMahona
Автор

Mungu akutie nguvu katika utumishi madam janepher, hakika umetupa funzo kubwa sana kupitia wimbo huu.

BolingoKigula
Автор

Nabalikiwa n'a wimbo huyu kabisa wema ni akiba

innocentmpawenimana
Автор

Who us here this year 2023 thanks sis Jennifer be blessed deae

judithkavira
Автор

Tutende mema kila siku, maana tutavuna tusipo zimia roho. Hilo ndilo somo kubwa nililojifunza kutoka wimbo huu. Mungu wetu azidi kukufunulia dada

fredericmbokobest
Автор

Mama barikiwa Sana katika utumishi wa Rabana, I'm so blessed madam

humphreykeyari
Автор

Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa ujumbe wenye mafundisho ya kiroho na kijamii nakutakia huduma njema

EmmanuelMagengeli
Автор

These songs encourages my heart.Father touch my soul and forgive my sins.

noahwekesa
Автор

thank you for information huu wimbo umenifusa mambo mengi sana God bless yoiu

kennedykipsisey-rh
Автор

Wimbo huu umenitoa machoz Jennifer umenikumbusha mbali Mungu akubariki

amankichondo
Автор

Mungu akutunze sana jenifa nyimbo zako zina ujumbe mzuri sana

WitnessJoseph-kz
Автор

Lk 6:27-36 SUV
Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi, wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi. Akupigaye shavu moja, mgeuzie la pili, naye akunyang’anyaye joho yako, usimzuilie na kanzu. Mpe kila akuombaye, na akunyang’anyaye vitu vyako, usitake akurudishie. Na kama mnavyotaka watu wawatendee ninyi, watendeeni vivyo hivyo. Maana mkiwapenda wale wawapendao ninyi, mwaonyesha fadhili gani? Kwa kuwa hata wenye dhambi huwapenda wale wawapendao. Nanyi mkiwatendea mema wale wawatendeao mema, mwaonyesha fadhili gani? Hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo. Na mkiwakopesha watu huku mkitumaini kupata kitu kwao, mwaonyesha fadhili gani? Hata wenye dhambi huwakopesha wenye dhambi, ili warudishiwe vile vile. Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu. Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma.

josephsaidi
Автор

Yaani jamani bila mungu, ,,hakika huu mwema hautaweza kuutenda, , , tuombe saana, , , hakika mwenzenu wimbo huu unanifikishaga mbali, , , saana, , , ubarikiwe mwimbaji

charlesnyuma
Автор

Duuh, asanteh mtumish Kwa ujumbe mzuri mungu akupe maisha lefu uendelee kutupa mafundish mengine

GeorgeJohn-ht
Автор

Nahisi kuinuliwa, ,,,be blessed, , 🙏🙏😭😭 thankx for the spiritual teachings

nerriszawadi
Автор

Balikiwa saaana mtumishi wa Mungu Baba yetu Sote.Mungu alitenda Vilivyokuwa mhimu saaana kukukabidhi kipaji cha Utunzaji na ugawaji wa nyimbo za thamai kwa watu wengi hususan nymbo hii inayo dhihilisha vilipo vya matendo ya kila mwanadam.!!!

NzabampemaAudace