Hawana jema By Jennifer Mgendi

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ameen mtumishi wa mungu barikiwa sana kazi nzr ❤❤nyimbo zako zinatufundisha vzr zinagusa mpk sisi waislam🎉❤🙏

saumusulaiman
Автор

Mwenyezi mungu azidi kuku nua zaidi nazaidi ❤❤❤

RamadhaniRamso-cy
Автор

❤❤❤❤❤❤nyimbo zako zanibariki sana uongezeee kipaji sana dear

MeryMery-zu
Автор

Kabisa binadamu hawana dogo kila mmoja atapenda aseme analojckia, jali yako kikubwa usimkosee mungu kwakutenda dhambi.

angeljoan
Автор

Kwelihuwezi warizisha walimwengi nawupendasana mwimbohuu ongelasanadada.❤


3

OlivierKULIMUSHI
Автор

ni kweli mamy kumfurahisha mwanadamu kazi sanaa

rebecakitomari
Автор

nyimbo zako zinatugusa hadi sisi waislam

omaryhamisi
Автор

Nyimbo zako ni mahubiri mazuri Sana let me move forward with my life coz siezi waridhisha 🙏🙏🙏

nellynekesa
Автор

Una bariki leo, ubarikiwe dada yetu katika maisha ya kiroho

julesngama
Автор

Mungu akuzidishie Kenya busia county teso land following

fearful
Автор

Amen ni kabisa Mungu pekee ndiye mwesa wa yote kweli

fatmafa
Автор

mama kabasi duniya ya leo ukifanya mazuri akuna kabisa muwenye ata kufuraiya lakini mabaya jo tulicha ona mu zuri Mungu wambinguni atupe guvu ya ku tangaza neno lake duniyani pote. na wale wasiyo mu juwa wapate baraka.

paulinzihindula
Автор

Mungu nisaidie nipe hekima ya kuishi na Binadamu ...ahsante mamaJennifer

veronicamshota
Автор

Oh kweli huwezi kuwalidhisha hata ufanye nini. Huwezi kuwafulahisha hata useme nini. Mimi nasonga mbele nahangalia mupango wangu na Mungu tu. Dada Mngu akubaliki🙏

jantilleigiraneza
Автор

Wimbo umenitosaa saana, Mungu akubariki

doricemdete
Автор

Nakupenda Sana mama nyimbo zako zinafariji mno Mungu azidi kukubariki

salomemourice
Автор

Mungu wa mbinguni aendelee kukuinua kwa kaz nzuri da Jane,
I real love you mom.

bethadickson
Автор

Mungu akubariki dada Jennifer kwanyimbo nzuri unazo zitowa kabisa nime guswa na nyimbo hii
Keep up sister l believe God will always be by your side

anitanapewa
Автор

Amina dada ubalikiwe
Kwaujumbe mzuri nakupenda sana mama

katherinekashende
Автор

ubarikiwe maman Jennifer mugendi una wezaka kuni bariki sana kwa nyimbo zinamafundisho nyingi sana Mungu akuzidishiye hekima

charlenemusimwabagalwa