Wema ni Akiba.

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunefunguliwa kwa maombi ya cheni za kurithi ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu uko vizuri👍👍👍👍👍

paulinamartini
Автор

Amina sana mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sana kwa kutubariki sisi watoto wa Mungu kwa mafundisho yako 🙏🏽🙏🏽

olganduko
Автор

Karibuni sana hata ndani ya ibada ya jumapili ijayo mungu anazidi kutenda

MleuKessy-ldyc
Автор

Mungu anatupenda sana ndio maana anstupa vyakula fresh vya kiroho

paulinamartini
Автор

Mungu akutie nguvu sana mtumishi kwa mafunuo ya ajabu

paulinamartini
Автор

Ubarikiwe sn mteule wa Bwana. Muda huu niko DODOMA lkn bado nakufuatilia kupitia YouTube

zabronmwakanyamale
Автор

Hakika ninauona upendo wa mungu kupitia ibada za pastor Godfrey mungu azidi kukupaka mafuta zaidi

evaevaresti
Автор

Mungu wa mbinguni anazidi kutenda miujiza yake

MleuKessy-ldyc
Автор

Nimebarikiwa sana na Somo hili kweli ukitenda mema utalipwa mema

paulinamartini
Автор

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Hosea 4:6 Bwana Yesu tutoe kwenye maagano

olganduko
Автор

Hakika tuna mchungaji mpakwa mafuta wa mungu tunawakaribisha watu wa wadini zote

Vicky-yv