TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

thanks much brother, naamini sikumoja nitakuwa mtu mkubwa Sana kupitia kilimo na ufugaji

samwelmnyenyelwa
Автор

.thanks uncle we are together...lets keep on learning

salumnamjupa-sycm
Автор

yes I have to change myself to focus success

zawadithomas
Автор

1. If you born poor its your parents
2. If you die poor its your problem
3. Comfort zone kill many dreams
4. You are the CEO of your life
5. Lack of confidence kill many Vision
Yaan Joel sina cha kukulipa ila Mungu aendelee kukutumia ni kweli nimepewa support na bank baada ya kuona jitihada zangu nimejenga store lkn haina kitu, mabadiliko yanaanzia ndan na kujiamin see you at the top

gloriakawago
Автор

Maisha ni mpangilio unaojiwekea kukosa mpangilio mzuri inaweza kupelekea kukosa mwisho mzuri.... Thanks brother Joel nanauka your The Best

nurdininanjota
Автор

Confidence ndo Kila ki2. Namuaminisha Mwanangu kuwa anaweza ktk masomo na anaweza kweli

DorisGolden-iybs
Автор

I have gotten a point that will help my entire life👏I wish my fellow youths will hear this, iam from Nairobi Kenya getting you clearly

davidtumbo
Автор

Thanks alot brother Joel nakubaliana nawe mia kwa mia, Mimi ujiamini sana kwa kile ninacho kifanya ata mtu hainiambia siwezi mi humwambia hayo ni maono yako wala sio yangu

annmulu
Автор

Maneno yako yamenijenga sana nashukuru kwa Mungu kwa uwepo wako

NabsonKifuge
Автор

Jamani sijui nilikuwa wapi nakuelewa sana hivi unapatikana wapi natamani kuhudhulia semina zako napataje mawasiliano yako kaka

DevothaDamas
Автор

👏am really impressed by this speech @JOEL NANAUKA🤗
nathani hotuba hii uliitengeneza Kwa ajili yangu🙏🙏🙏🙏
Mark this comment, ONE DAY WE WILL SHAKE HANDS & I WILL REMIND YOU OF THIS TOUCHING SPEECH🙏🙏🙏🙏
NIMESHUKURU🙏🔥🔥🔥

bonnyjessy
Автор

Naanza kujifunz kutoka kwako Kwa maneno Yako yenye 🙏

mbarakamakasi
Автор

Mualimu wetu siku zote nitakutakia baraka 💫

OmbeniKatsenge-zb
Автор

I'm from Burundi this gentleman is teaching the World not Tanzania citizens only

luciennibizi
Автор

Wewe ni mwalimu wa wengi
Binafsi umenibadilisha sana toka nianze kujifunza kutoka kwako, , Mungu azidi kukuongoza

pix_lyrics
Автор

Daaaa! Kunafaida kubwa sana nimeipata. Asante sana bro

gracekazi
Автор

Kwa elimu hii na mm nweza ahsnte kaka joel nitapambana

AshaKachapuka
Автор

Asante mafuzo yako ni ya kipekee imenisaidia

RodhaMbithi-pyte
Автор

Naam Kaka Joel somo limeniongezea kujiamini, sijui ilikuwa wapi hapo! Ninakukribsha pia na huku Mwanza

kakawamashariki
Автор

Asant sana kwa mafundisho yako ila najambo nataka unishauri sijajua nifanyaj ili nipate mawasiliano na ww

TausSalum-dh