Top Gospel Songs by Bahati Bukuku : African Gospel Songs Swahili

preview_player
Показать описание
Listen the Top Gospel Songs by Bahati Bukuku (Swahili). Top praise and worship songs in swahili.

Umewazidi - 00:00
Kesho Ni Fumbo - 06:52
Nyota Yako - 14:59
Nataka Kufafafa Na Yesu - 23:39
Dunia Haina Huruma - 30:41
Tuliza Mawimbi - 43:47
Atakushangaza - 47:52
Mungu Hana Mshari - 53:50
Abneli - 01:00:29
Ahabu - 01:09:52
Nipe Muda - 01:18:28
Mbeba Maona - 01:26:54

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakupenda sana bahati nyimbo zako unibariki sana

faithmunyao
Автор

Numbo zako zinafanya maisha yngu yabadilike

RaelAnyangu
Автор

Dunia Haina huruma hunikubusha yotee nilipitia mama ubarikiwe🙏

leahme
Автор

Dada uichi siku nyingi mwimbo zako zina nifutiyaka sana kuliko wana muziki wote

ericksonerickmukere
Автор

BAhati bukuku na penda nyimbo zako sana ubarikiwe❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

ftomaftoma
Автор

Baba wewe ndio kiongozi Wangu. Nitangulie nifanye Mungu mbele YA mafarao woooote Wa Dunia hi kama vile ulivyo mfanya Musa Mungu mbele YA farao katika Jina la yesu mwana Wa Mungu Alie Hai ameeeen

TruphosaMuyanzi
Автор

Bahati huimba chenye ufanyika hasa kwa walimwengu laeti wanadamu wangelikua wanasikia hizinyimbo I love you bahati bukuku

nnazly
Автор

I love you sister kwani nyimbo zako zina ukweli ndan yake na ujumbe pia mungu akubaliki sana usije ukavunjika moyo hata iwejemajaribu kwenye kazi ya mugu uwa yapo tu

syiliviambakizaki
Автор

Jackline N Wakhungu from kenya to saudi dammam .wanipa modisha sana na huo wimbo. Bahati bukuku Volume juu sister.

jacklinenwakhungu
Автор

Dada bukuku namupenda wewe na nyimbo zako zote nazipenda sana ju ni za mafundisho na imiso kweli kweli na mungu akubariki sana

mtumishisuzanshitemi
Автор

Nipe muda nimtafute yesu bwana kuuzu maisha yngu ya ndoa.

qatardoha
Автор

Nguo za dunia ziko wapi naomba wanadamu muniambie..mipaka ya dunia iko wapi ni nani amaeza kunionyesha 🙏🙏🙏💃💃💃. lord your the most high 🙏🙏🙏this song has really made me stand strong be blessed bahati bukuku

winfridahgarama
Автор

Nyimbo zako zinapendeza na ni tamu ubarikiwe

CarrenKimori
Автор

Mungu ukujaze na Roho mtakatifu unizidi kueneza neno katika nyimbo.

godfreymaina
Автор

Baba yetu Alie juu mbinguni Jina lako litukuzwe ufalme wako ujee katika Jina la yesu mwana Wa Mungu Alie Hai. Baba naomba uifiche Nyota yangu vile ulivyoficha Nyota YA yesu mwanako katika Jina la yesu mwana Wa Mungu Alie Hai ameeeen. Haki Baba natamani kufanya a Na yesu, nitembee kama yesu. Emungu katika Jina la yesu mwana Wa Mungu Alie Hai king of my 💓 you even know how much I love you king of Kweli kama Sio wewe ningekuwa wapi naningekuaje kweli. Baba nakupa Sifa Na utukufu zoooote Ni zako wape Dr wasipende Ni wewe kusema ukisema umesema hakuna kupinga.

TruphosaMuyanzi
Автор

Niko Congo RDC goma nyimbo za dada yetu bahati n'a zienda sana zina nijenga kiroho. Asante sana mama

KatemboVihuko-zo
Автор

Adi wa Leo ni mpya kwangu, hongera sana Dada Bukuku, hio sauti niya Simba 💪👏

kyungudaisy
Автор

Nampenda Sana bukuku kwa Radha ya nyimbo zake zinafundisha Sana Mimi Ade

adelinachanga
Автор

Nataka kufanana na Yesu Kristu.Haleluia halleluia haleluia.Jesus Christ My king and Saviour I want to look like you in my life.Guide me and be my strength every day in this though journey of life .Amen

genestekwizerimana
Автор

Napenda sana nyimbo za bahati bukuku sometimes ata nikiwa lonely zanibariki tu

agnesmasudi