BAHATI - CHERIE (Official Video) Starring DIANA B FOR SKIZA SIMPLY DIAL *812*811#

preview_player
Показать описание
Bahati delivers his first single of the year 'Cherie'.

#Bahati #DianaB #Cherie
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

It's Been an Year without New Music but your Love has still been Top Notch 🤩 Name one Person You would Like to dedicate #CHERIE 😊

bahatikenya
Автор

Kutoka Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🎉 nimelikubali goma la bahati liko 🔥🔥🔥 sana, wakenya nipeni like hata 5 tu zinatosha japo nimechelewa.

MasanjaSamweli-br
Автор

Hivi mliamua hata niseme Bahati n international artist from kenya hanipei likez zake😂

dandydeprince
Автор

Kama tulianza na wewe 2013 till today and hatutawai acha bahati ❤❤❤❤LIKE tukisonga

kenkilosa
Автор

I really like your voice brother, welcome 🔙, , kama ww ni mkenya gonga like tukisonga

JosehMutia
Автор

Wapi mafans WA Bahati kutoka akiwa gospel till now gather here

youngtugicomedian
Автор

Our very own Baha is back...kama wewe ni mkenya ngonga likw😊

jacklinemumbua
Автор

Mtoto wa mama this is the real banger, umekill mbaya sana real talent Wakenya kama mnakubali hii ngoma gonga likes

cateshii
Автор

This is pure talent🔥🔥🔥Hii hakuna mtanzania anafika hii level ya vocal, let's make it 100M views🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Drsumu
Автор

Enyewe mmetoka mbali baha and despite going through alot mmekuwa pamoja you've never given up on your marriage. May God continue blessing you

LeeroyOseko
Автор

Nakumbukaaa tulipolala chini naweeee..
strungi ndio chai mamaa, , , bila sukari...
Lakini sasa, , , , nimepata jina na pesa aieee
utakunywa nini ninunue..baby lets
NIPE LIKE KAMA UMEPENDA HII HIT SONG🔥🔥🔥🔥

jamesJay
Автор

Kama unakumbuka alipotoka mtoto wa mama gonga like tukisonga watu hutoka mbali😢😢❤🎉

raphaelbundi
Автор

1.2M viewers in 3weeks sio mchezo, ,thz guy is vibe keep winning bahati, , kiambe uu kiambite😅

AlexWambua-ypeo
Автор

Very emotional 😭😭😭. May every single person here find a cherie with a genuine and pure intention.CONGRATULATION THE BAHATI'S

stevecharlo
Автор

It is my first time to comment BAHATI songs I need my like am from Uganda 🇺🇬 thanks kenya for best song❤🎉

ALDAZ
Автор

Kutoka congo 🇨🇩 nimelikubali goma ya bahati iko 🔥🔥🔥 naomba wakenya angalau like 5 inatosha

mbirizealice
Автор

Bahati the goat of music. GREATEST OF MUSIC. Ana aje nipeni like kama niukweli

AnthonyNduati-rclw
Автор

LEO nimewai naomba like zangu Niko Tanzania 🇹🇿🎉

PendaelHagaiMRPH
Автор

This song brings back good memories of the 90's and early 2000.👌🔥❤‍🔥

BarazaGroup
Автор

am from Ethiopia 🇪🇹 I love this song even though I don't understand its meaning .can I get 10k likes my kenya people

mohamedalow