MISSION IMPOSSIBLE [59]

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Namkubali sana chad❤❤❤🎉🎉🎉 weken hapa alam kama mnamkubali chd kumsapoti pia ni muimu sna 🎉🎉

Zebuu-kp
Автор

Mzee wa misumali Ako vizuri kabisa part yake anicheza vizuri weka like anaye Kubali

arimtekerdivalwamadush
Автор

Mzee wa misumari ataki unyonge wanaungana nae tujuane....mchawi milioni kumi kubababake pesa🎉🎉🎉

NeemaMzur
Автор

Mungu ndio kimbilio letu kwa kila jambo inshallah atubariki kila siku🙏🙏🙏

MauaKasulwa-ky
Автор

Kati ya movie zenye nafatilia hii ni moja ya movie Kali sanaa, alafu chado ni mjanja sanaa km unaamini ilo gonga like tukisonga, Leo tumewaii

Barackjumah
Автор

Beby nakupa figo nakupa na moyo nilipotoka sijui nilikuwa loyo yaliyonikuta mengi nimekoma we nimekoma jamani KILLER MASTER 💪🏿

SaidBakari-zqzd
Автор

Nani anaamini tunakoelekea
Mzee wa misumali ataenda kumpa chado masta heshima yake kama shem lake aje tuunganee😂😂❤

annaki
Автор

TUMSHUKURU MUNGU KUIONA TENA MISSION IMPOSSIBLE TUTOE PONGEZI ZA CHADO APA LIKE KAMA ZOTE KWA KUIONA LEO

WizmanTiger-kppp
Автор

Najma anapitia wakati mgumu sanaa mungu amtie nguvu wanao ungana na mm gonga like apaa😢😢😢🎉🎉🎉

DeboraLufingo
Автор

Utakaesoma hii comment Allah akujalie kheri 🎉

HalimaBakari-fh
Автор

Anaye amini den la kina najima atalipata chado, , na pesa hizo chado atazitoa kwa video queen agonge like hapaaa..

paschaljemedal
Автор

Wanao amini kwamba chado ni msela tu lakini sio mwizi tujuwane😊❤

MiradjiAsina
Автор

Walio kua wanachungulia YouTube kila saa kama mission impossible imetoka tujuane😂😂😂chado maua yako pokea 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

SalmaSamiry
Автор

Unaesoma comment hii, Mungu akubariki inshallah Amen🙏🙏🙏

BrahemRashid
Автор

Tumshukulu mungu kwa kuamka salama pia tuwaombee Dua sana team ya chado master wawe na afya Bora Kila siku wazid kutupa burudan🙏🙏🙏🙏

ramandau
Автор

Jamani wanapenda sana hawa watu wanajua❤❤❤ chado mama ngwengwe unganisha kidem jau cheusi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

LeahJuma-co
Автор

Akuna mtu ninae mkubal kam Chad mungu akupe maisha malevu ❤❤🙏🙏🙏🙏

JameesJuma
Автор

Leo mimi wa kwanza like zenu zote munipe mimi hasa chado najma bonge dadi mama ngwengwe ngwengwe mwenyewe na wengine nisiowajiwa

RashidKidume-we
Автор

Kutengeneza movie kama hii tena kitengo ataumiza akili, hakika umejitahidi tena unawahi kutoa kuliko waigizaji wote, hongera sana chado master.

AmosSinkala-lxsl
Автор

Chado kazi nzuri hujawah kukosea hucheleweshi kaz yako ❤❤🎉na mimi naombeni like jmn😂

MwanaashaJuma-mr