MISSION IMPOSSIBLE [1] SEASON 2

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tuliotoka season one
Mpaka now tupo season two
Mkuje tujuane jamani
Season two tumeipokea na tunatamba nayo❤❤❤❤❤❤ aloooo weee📞

annaki
Автор

Ila wew ngwengwe ni mtaalam wa kutosha na uko na kipaji kwa kweli nakupenda dogo na Mungu akusaidie kwa kazi yako ila nataka kuwajoin pia🎉🎉🎉🎉

KevinMuranga
Автор

Wanaomkubali chado master kwakutoa kazi kwa wakati weka like hapa🎉🎉🎉

Casmirors
Автор

Anaetaka dakika ziongezwe tujuane...gonga like apa🎉

VestinahAmoss
Автор

Aky huyu Ngwengwe si ana kpj jmn much luv from 🇰🇪

MELVINBBY
Автор

❤❤may God bless this man chado master Mungu aendelee kukufungulia njiaa

rosekavumbi
Автор

Waliongojea Jana hd wakaboeka mikono juu 🤚🤚🤚 chado master 🔥🔥🔥🔥 twakubali huku 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

DamarisDammie
Автор

Mbona mm jamani hamunipi ata like tano kama tunamkubali chado ❤

MANGELI_
Автор

Nilikuwa nimekumic sana ngwengwe atimae nimekuona nashukulu napiya ongera kwa kazi nzuri

AmenaAmoon-tv
Автор

Chado master, , , , ngwengwe kuza kipaj dogo unaweza👍👍from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

MwamuyeChimwaga
Автор

Yaa 🔥🔥 sana chado zanzibar inakusubir kwenye jambo lako❤🎉

kamalkhamistz
Автор

Tunao amini manyonga anashindwa kuuza nyumba gonga like apa video queen atamp 10milion deni litaisha

FedhaLuhunde
Автор

Wakwanza apa kutok Kenya 🇰🇪 ❤❤❤❤❤ kama wakubali filamu hii gonga like apa ata kumi tu 🎉🎉🎉

SaumuNyale-sh
Автор

Sio Kila unaemuona mfupi ni dogo nakukubali sana Give me your flowers, my little one

Sukhan
Автор

GWengwe amenifurahisha sana ijapo mama namuudhisha kwenye sehemu msimbazi ila maisha yake magumu magumu

SindarubazaCherejiyo
Автор

Hahahha ngwengwe nakukubali san mdg ang unaupiga mwingi❤❤❤❤

MwajumaRamadhani-fw
Автор

Wote wanafuatilia season hii mwenyez mungu awatilie wepec katka mambo yao❤❤

AhmadiJuma-co
Автор

Ngwengwe is the best love u Ngwengwe❤.... Mission impossible 😎

IrakozeHami-tm
Автор

32, Chado jamani unatufelisha mashabiki zako.unachelewesha kazi.watu unakaa kuchungulia kila saaa.❤❤❤❤❤

DianaMkembelwa
Автор

😢😢😢masikini chado anapambana ilakakosa pesa basi mkubalie jojo upate pesa polenajima gwegwe nammayako mpovzr sana

hutahuta