UTACHEKA SANA UBUNIFU HUU MKUBWA KUTOKA KWENYE WIMBO MPYA WA TOMMY FLAVOUR ft MARIOO (NAKUJA)

preview_player
Показать описание
East African number one Youtube channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS

KANUNI NA MUONGOZO

Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.

NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere

#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #news #newvideo #exclusivenews
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Scorpion King nyimbo Kali Sana colabo mbili na watu kama awa Tommy basi atakua juhu zaidi naona tu jinsi anavyo kuja, ebu usikale piga ngoma nyingine na mtu mwingine

clementejorge