MJUE MR BLUE AKIWA MTAANI KWAKE AKITOA STORY USIZOZIJUA KUHUSU NYIMBO ZAKE

preview_player
Показать описание

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mr Blue is a Legend
kama kuna msanii alitesa Nje ya Tanzania basi si mwingine Ni MrBlue
Nairobi, mombasa na sehem za pwani ya Kenya.
ana mashabiki kibao sana Ndani ya Kenya na Uganda.
Just like the Late Natedogg mrBlue can blend in with any artist he is working with.
Respect to mrblue
respect to micharazo crew
a legend so true
i knew the kid since 2003
2 decades in the game
money cars and all the fame
no scandals no shame
Blue alitesa mazee

salimmohamed
Автор

Kinachonifurahisha kwa brue akiwa anaojiwa huwa anaongea vitu halisia, uongo kwake haupo ila ukweli juu yamaisha na ustaa wake anaviweka bayana. Ongela sana kwa hilo brue

lameckjeremiah
Автор

Mwamba namkubali sana japokua hii ngoma tabasam ilitoka wakati life ilikua noma ila tunashkuru Mungu alibadilisha kibao sahii bomba greetings from Bujumbura ❤❤❤❤❤❤

LameckNgabo-gt
Автор

Mr blue bayser the legend ndani 254 hapa Kenya mombasani namkubali sana... Nampa respect...

giftkenga
Автор

From Congo 🇨🇩 nakukubali sana bro blue wewe upewe hechima yako bro Tanzania ina faa kuku hechimu brother

ushindisaravayi
Автор

Mwambie blue asihuzunike kukosa tuzo, sababu yeye mwenyewe ndio tuzo kwetu sisi watz

athumanimtamatale
Автор

Kazii nilikuwa safii kishaa bado ni safii apa Chino killer musiq

chinokillerdee
Автор

Mapozi ndio my favorite song of all time kutoka kwa Mr Blue 🔥🔥🔥

blackblue
Автор

Huyu ndo msanii wangu bora wa muda wote ani

GevanceBrighton
Автор

Bizzy yu deserve the respect. Kenya 🇰🇪 loves yu

nelsonbilali
Автор

Blue utabakia ... Kua mkongwe daima alfu very humble ❤❤🎉🎉

JumaShame-zw
Автор

Moja ya wasaniii nimewapenda tangu wanaanza muziki

Hashima kubwa kwake
👊🇹🇿

Ram_
Автор

Njooni Kenya pia sisi tutoe maoni kuusu Mr Blue❤❤❤. One love

LeeMchanaji
Автор

Huyu Ni Legend Amekua na mziki " Amekua na mziki ameanza na bongo flavor, ulipofika katikati kiba akiwa anrun mziki alikuwepo na sasa bado yupo kwa kifupi ana aina ya mziki wake ambao atalala nao.

simondotto
Автор

Nampenda mno Byser!!🎉Amazing Legend!!! Mungu ambariki zaidi!!

TheMastertz
Автор

Ngoma yangu pendwa kipindi nakua ni blue blue aisee, fact, byser ni mmoja mwenye alibadilisha mitazamo kua mifamo kwani aliaminisha mziki auna size na kufanya vijana wengi kuamini kumbe ata sisi wadogo tunaweza kufanya na kutambulika katika huu mziki.

EinsteinFromEastern-vhlo
Автор

Nakumbuka hiyo ngoma mapozi akipeform Club Brilliant Mariakani 254

mweroruwa
Автор

Toka enzi za ukubwani blue hajawahi niangusha kwa mademu. Yani video queens noma sana

KaidaCut-vpkc
Автор

Wasafi mnajua sana, this segment is super beautiful 🔥 Namkubali bysar sana

swahiliflava
Автор

Napenda pia uhalisia wake, jamaa mashallah kajitenga na uongo, amejiweka MTU wa kawaida, anamix na Wasee kama kawa, that's impress me very much

khalfanndenge