Stori nzito kuhusu Jini Maimuna 'Masaa 24 yaliyopita'

preview_player
Показать описание
Hakika ni tukio la kustaajabisha ambalo limemtokea ndugu yetu mpendwa Masaa 24 yaliyopita. Binti anae tambulika kwa jina la 'Pukuu' amesimulia tukio hilo kwa hisia kali.▶LIKE & SUBSCRIBE FOR MORE VIDEOS▶
Enjoy to watch Super News TV online made in Tanzania subscribe our Channel for more videos. for any thing Call us 0658161950
#newtalents
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sasa jamani mnataka sauti au kinachoongelewa hapo mpeni mtu seaport bwana mara MB oooh sijui nini yatizo hilo wa Tz hatupendani hebu tupendane mpe ushauri mzuri Mt anakuelewa bwana

ballqissbabyabdallah
Автор

Pole dada huo ni mtihani Mungu anakupa wewe kwasababu amekuumba mwanamke unajiita mwanamume

mira-gqqg
Автор

Jesus Christ protect us in this evil world Amen THANKYOU

annabar
Автор

Pole sana omba mara kwa mara na atakulinda na shari za mjini na watu

mira-gqqg
Автор

Kwani we ni msichana au mvulana Mbona kama sikuelewi ila simlizi iko poa na pole sana kwa mkasa ulio kukuta dunia ndivyo ilivyo kikubwa ni kumrudia Mngu tu 🙏 binam hatuna upendo hiyo inajulikana

makiadikabura
Автор

Alafu muogope Mungu amekuumba mwanamke unajiita mwanamume

mira-gqqg
Автор

Nazani story ninzuri ila uhusika umemkuta mtu sio, au atleast ungeanza na intro yahiyo simulizi alafu ungesema utabeba uhusika wa nani maana tangu story inaanza wew umebeba uhusika wa mwanaume as if kama wewe ni wakiume na hiyo story inakuhusu wewe, Jaribu kuwaandaa watazamaji kwakuweka bayana nafasiyako.

Mfano
time 00:01+
Leo tunaenda kusililiza story ya jini maimuna msimuliaji wako ni mimi .... na ntabeba uhusika wa maimuna au mtendwa
then story inaanza briefly ikiwa na neno linalo toa current time zone na kuturudisha kwenye huo muda halisi.

frankgalos
Автор

huo ni upumbavu to MB zangu zinaisha na story isiyoeleweka, mara we ni mwanamke mara mwanaume

mgenimsaji
Автор

Punguza sounds track ya nyuma coz ni kubwa kuliko saut yako

faudhiaally
Автор

simlizi yako ni nzuri ila ongeza vionjo/fani za lugha iweze kunoga zaidi.

eddiezunda
Автор

Jinsi ya kutibu tatizo lakukosa nguvu yakiume

joyceelias
Автор

Dada unaweza ila xaxa mbona unachanganya mala braza xkuelew an

danielruben
Автор

Kaka kivipi tena na wewe achakuchanganya Mambo

ronjemillan
Автор

unaweza Pukuu kaza mama mbona mlango upowazi

marceloalfredtz
Автор

Wewe ni mwanaume au mwanamke maana sikuelewi kwenye simulizi yako. Maana huna mke bado sikuelewi

averinamarco
Автор

Huyo ni jini maaimuna kuna kosa ulilofanya ama umechukua .mke wa mtu au mali ya mtu sasa tafuta tawi la mtende na mshomaa na dawa inaitwa mihilatisailha vyote lalia mchagoni hajitena huyo. Ndiyo umemfukuza

kajonjemaamudu
Автор

Mbona hueleweki ni 'Wanamaker au ni mwanaume ? Mimi Sijali kuhusu MB zangu kupitia kwa sababu ninalipia kwa 'mwezi nitumie nisitumie 'katana nikulipa kwa mwezi but story haileweki pia were hueleweki jinsia yako

adamumjomba
Автор

Jamani muelewe na nyie mnaokomenti, hii ni stori na sio yeye anayesimulia bali ni mwingine

ezrommkambati
Автор

Saiz naona mnadanga adi yutube mnatumalizia bando tuu unalia wkt kwenye story unasema alikua kaka sasa na ww dada wapi na wapi?mnatuchosha tuu na ujinga wenu sasa unalia nn story yenyewe ya kisenge macho makubwa kama sikio la tembo pumbavu sana ww

euniceeunice
visit shbcf.ru