Njoo Bongo Ronaldo hata Utakula pilau Na kulala nyumbani kwa Wema❤❤❤
Maggie
😂😂😂😂 We unaanzaje kumlabua CR7 Kwa mahaba ya shabiki take. Mwenyewe karidhia na usiku kucha hakulala 🥰🥰
josephvenus
🎉Hawana uhuru mpaka maisha yao ya kila siku tunaishi nao tuu kwa sababu ya kutafuta maisha ila wanahali ngumu na uhuru wao hata wakiwa ndani
sakshidaniel
Watulie Goat hawezi kupigwa viboko 99😄😄😄
TerryIrakoze
Hizi nchi za kiarabu zina ujinga mwingi sana yaani Wana Sheria za ajabu
lulanjamd
Ni vingumu sana kufanya kazi na hao watu
williamkirema
Hii ndio maana halisi ya tafuta pesa . Sheria si kitu mbele ya mwenye pesa
GabrielSky
Hii sio kweli haja mmbusu kimapenzi alafu ingekua ni kweli basi asingetoka Iran manake najua sheria za waarabu zilivyo huchomoki. Na yule ni mwanamke with special needs sasa yatafsiriwa tafauti kwa umati.
hassanfigo
😂😂😂 hivi inawezekana kweliii kumpiga huyu mbuzi
BlessKikoti
Kumgusa Cr7 kwa mtindo huo wa viboko ni kutafuta vita vya tatu vya dunia
michaeljohn
Hapa iyo sheria haina sehem, mana hapa lengo lake ni kuonesha kumsupport na kufurahi nae. So haina mahala kwa apo.
binmasoud
Hawakumjuulisha banaa mwenyewe anachekelea apo
fatmaabeid
Hao nawo waende uko kama nikosa mbona nywele za binti mwenyewe nywele ziko inje sheria za irani hazi muhusu Ronald 😅 zina muhusu huyo binti walata hato kija kuchapwa
Sidrasidra
Akichapwa mniite kunguni wa ufaransa😂😂😂😂😂😂
festocharles
Waarab kum mazao kwani MTU asimkumbatie kwa furaha
jumahassan
Sasa kama hawakumwambia na tarifa izo alikuwa hazijuwi minaona ronaldo kamuonesha heshima
Wasitake kumjaribu Ronaldo, kila mtu na utamaduni wake, kama yeye alikuwa hautambui huo utamaduni kwanini huyo aliyekumbatiwa asingekataa kukumbatiwa na hiyo kiss