🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ZAWADI SEHEMU YA 06 - AUG 19

preview_player
Показать описание
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ZAWADI SEHEMU YA 06 - AUG 19
-🔴LIVE :TRANSFORMER - AUG 19
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyo shost wa Gift angenikuta mm kumanina yake angekoma nakumbuka nilipataga mualiko na mkaka hivi msomi nikaenda na shogaang mmoja hivi sasa tukaagiza chakula yy mwenzang anakula na umma mm nikanawa nikala kwa mikono heee saangap asinitumie sms eti mhh pendo hebu hata igiza kula kwa umma nikamuuliza unaanza kuwashwa si ndio.. basi alikoma hapohapo sipendag mambo za kisenge mm

pendorobert
Автор

Mh Huyo lafiki ameshaanza wivu ten niwivu mkubwa Tu jamani khh😢😊

Ayshernasolo
Автор

Jamani tujihadhari na marafiki wanafiki 😂

gracesuguta
Автор

Shoga na shoga shoga na shoga shoga na shoga

ashajuma
Автор

Hii simulizi Tamu jamani 😂😂😂😂😂😂😂gift Nimecheka jamani watu Wana subra mimi ningeshakasirika eti siku ya pili wanaongea tena

Zuhuranadadoita
Автор

Shoga ake kashaanza kuona wivu jmn ajui km kila mtu na riziki yake

DianaFrank-wm
Автор

Masikini gift she's so real jamani 😂😂😂😂😂😂😂rafiki naye Sasa wivu walah

Zuhuranadadoita
Автор

Huyo rafiki mpumbavu sana tena shetani kabisa. Wanawake acheni kuwasilimulia mashisti wenu mamno yenu. Sisi huwa hatusimulii sana mambo yetu ya ndani jalo kina mafala huwa hawana vifua wanasimulia.marfiki mambo yao na huwa wanaumizwa sometimes.

khorima
Автор

Uyu shoga sio wivu amepitiliza ni Zaid ya wivu anarohombaya sanaaa alafu ata ktk ndugu tuko nao wenye tabia kama ya huyu

mwashabanirashidimitumba
Автор

We. Veronika Mbona huwa haupost Kila Siku?

zainab-ybtt
Автор

Unakosea sana kumwambia kila kitu rafiki yako

NeemaSamson-tipc
Автор

Mbona miaka 31 midogo watumwa aolewa miaka 50

angeljoseph
Автор

Veroooo😂😂 ww ni mrembo Sana unamzid gift😂😂😂😂

pastorhermantv
Автор

Mbona kumxhirikisha kila kitu huyo shoga ako?

abdulsalim
Автор

😂😅😅😅😅yni gift atamani aambowe tu nakupnda yaishe....eti rafikiangu kanikanyaga uko single silo swali uloulizwa😅😅😅Rafiki nae mbea

BintHassan-oy
Автор

Kijana alishasema ako na 35 hio 31 ni uzushi wa shosti ake gift...., na haluyo hussein hana hata girlfriend ni uzushi wa huyo shost....
After all, .age aint nothing but a nimber😂

khorima
Автор

yani vinachekesha mm dadaangu kila nguo anayo nunua shogaake anasema nimbaya😂😂

stevenimmanuel