🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ZAWADI SEHEMU YA KWANZA - AUG 12

preview_player
Показать описание
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ZAWADI SEHEMU YA KWANZA - AUG 12

Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Aisee namwelewa sana hy dada mungu awepe waume sahihi ambao amjaolewa😢😢

zayabdala-kydg
Автор

Jift mbona unagonga kwenye mshono 😢😢 nina 33 sasa bado single mungu nipe mume mwema hata akiwa maskini ila hawe na hofu ya mungu na upendo nimechoka sana 🥲😢

Fatima-wlnu
Автор

Mmmhh wa dada wazuri bhna Mungu awaurumie tu yani uzuri wako unajiringia adi unaishia tu kutumika lakin aah ila ombeni Mungu yupo atawaletea ila washauri wengine kuwa uzuri sy maisha na kuringa pia sy maisha

ManuelLukumay
Автор

Dada vero nimemiss simulizi za ndoto ndoto, majini majini, misukule

complex
Автор

Story ya zawadi ni yawasichana wengi nipo hpa nina 30 hata boyfriend sina😂😂😂

naimamalekela
Автор

Vero weka sehemu 4 hatuipati jana wengine saa 1 tulikua biz

MacklinaJohn-nfvh
Автор

Mwanamke/mwanaume mhuni ni yule anayeruhusu kufanya mapenzi kabla ya ndoa.

saidmuhenga
Автор

Simuliz za za kuchaw chaw nd zinachangamsha😂

HogaMasunga-ecjw