RIPOTI YA LEO LAMECK VOLUME 09

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ukimtumainia mungu Hakuna kitakachofeli Asante yesu Asante Mwenyez Mungu 🙏🙏

LizaLiza-vm
Автор

Roho ya Kaini ilimjaa kaka yako Lameck poleee sana mama kafa kwajili yako na kifo cha kaka yako nae hakiko mbali

dorcaskidoti
Автор

Imani zetu ni ndogo ila mungu wetu yupo na anasikia maombi yetu na anajibu. Ukaribu wake kwetu ni zaidi ya nguo tunazo zivaa. Story hizi huwa zinanitia moyo mkubwa sana dhidi mateso nayopitia.

NeemaSalehe-bj
Автор

Siku zote rafiki wa kweli na mwenye kutusaidia kutupigania, kutuepisha na mabaya yote ni MUNGU pekee yake🙏🙏🙏🙏

OliverPaul-ye
Автор

Daaa 😢kuna mapito mazito watu wanapitia pole sana kak lameck

RehemaMpangala-ju
Автор

Kuna mengi tunapitia yanafanya tuone Mungu katusahau na kukufuru kabisa, lakini Mungu yu nasi kila sc, dk na kila saa

GeofreyKalavya
Автор

Mungu anajibu maombi yetu na anatusaidia mengi ambayo hata tusiyoomba

EvelynLubuva
Автор

Da vero naomba chance ya kufanya shorts za films zako natamn sana jmn

JovinaPaul-ft
Автор

Pole sana lameck kwa kumpoteza mama mzazi, mamako alikufa kifo yenye wewe ulifaa ufe 🇰🇪

carolinetalam
Автор

Mtu anikumbushe kuna ripot ya mdada bosi wake aliichoma nyumba ya mdada kisa anamtaka mdada lkn yy dada hamtak. Yule kaka walikuja kuoana na alikufa

restyjaffer
Автор

Tuko pamoja dada Veronica kipenzi changu

fatumayusufu