MSIBA: MTANGAZAJI WA WASAFI FM DIDA SHAIBU AFARIKI DUNIA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nikikumbuka kuwa cku moja watu watakimbizana na muda kwaajili ya kunizika mimi Aki huwa nakosa maana ya maisha 😢😢😢 LIFE Dida mungu akusamehe ilipomkosea kwa siri na dhahiri

azizayousuph
Автор

Hatujaja duniani kushangaa mataa dunia ni chumba cha mtihani fanya mema aliyoamlisha Mwenyezi Mungu na uache mabaya aliyokataza Mwenyezi Mungu. Haujaletwa duniani kwakupenda kwako na hata wazazi wako hawakujua kama utakuja wewe aliyekuleta ni Mungu wako na atakaye kuchukua ni Mungu wako. Aliyekuleta akikuchukua hakuna ugomvi na tukienda kwake ndipo tutajua mbichi na mbivu. Ugumu wa maisha usikufanye ujihalalishie mabaya na kuyakanyaga mema. Ukifanya kosa la bahati mbaya muombe msamaha Mungu wako kisha songa mbele. Kaburi halinaga udugu utaishi kulingana na matendo yako ya dunia. Usiulize nimeyajulia wapi acha uvivu wa kusoma dini yako. Kama hauamini ktk dini basi kaa pembeni endelea na harakati zako 🙏

DonMooFILMES_Express
Автор

Inalilah wainailah rajiun Allah ampe kauli thabiti kaburini mwake inshallah 🤲🤲🤲binadamu tuachen maringo tuache kujiona cc ndo cc tukumbuke kufa kupo 😢😢😢mwisho wetu ndo huo

ruqaiamohammed
Автор

sisi sote na mungu na kwako tutarejea mungu akuweke upo stahiki RIP DIDA

mwinyihilal
Автор

Harmonize Mzee Popo katika njia zake za kumuletea hasara Diamond.... Harmonize anahusika na kifo Cha Dida💯😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

SifaEmma
Автор

Innalillah wainna ilaihi raji'uun.

Kwa hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea.

Allah amswamehe makosa yake.
Aaamin...

ummusumayyah-ek
Автор

Jamani dunia haitutaki hata kdg tujitahdn na ibada in sha Allah inna lillah wainna ilaihi raajiuon

himnakhatib
Автор

Aisee Mungu ni wa wote nimeamini. Pumzika kwa amani dada

emmyandrew
Автор

Innallillah Wainaillah Rajiun Hakika kifo ni kweli Na sisi ipo cku yetu kwa Allah tutarejea @Trust in God ✍🏼☝🏼

japanisyakuza
Автор

Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake Yeye sote tutarejea

minnahhers
Автор

My Dida😭💔 Inna lillahi wa inna ilahi rajiun! Mwenyenzi Mungu akurehemu 🤲 poleni member wote wa wasafi media 😭💔 from 🇨🇦

khadijakimana
Автор

Inalillahi waina ilayhi rajioun
Allah amlaze pahala pema kwenye wema.
Amin ya Rab 🤲

aaasa
Автор

Innalillah wa innalillah rajiun, Allah Akupe mwanga katika safari yako huko uendako, mbele yetu nyuma yako inshaallah sote tutalejea.

RamahMsafi
Автор

Kuna sehem sisi binadam kwenye hii dunia tunajisahau sana..!!

jumamnambangule
Автор

Jamani tujitahidini. Kubadilika. Tuache. Kila kitu turudi Kwa Allah. Tuvae vizur. Na tumrudie Allah tusali. Kuwache kuvaa mawigi waislam Allah amsameh snura ameamka. Mapema.

khadijaabdulaziz
Автор

Pumzika kwa amani Dida! Hakika kila nafsi itaonja umauti…🙏🏻

angelmashauri
Автор

Wanadamu tambueni, huu ndio mpango halisi wa mungu, kuzaliwa ili uishi, baadae kufa pindi kinga za mwili zinapokoma kufanya kazi. Yaani mwanadamu anatakiwa azeeke.

TOUNDISELASSIE-xjoy
Автор

Hasbun Allah wa nimal wakeel ) Allahumma inna naj aluka Fi nuhoorihim wa na oozhubika min shuroorihim )🤲🤲🤲🤲

drmussa
Автор

Mmmh ngumu kuamini kuwa kipenzi cha wengi ❤❤umezimika ghafla. Kicheko chako, utundu ucheshi wako sitausahau. Ulikuwa pilot hodari wa ndege yako ya Mashamu shamu. Daah imenifanya nimwage machozi.
Jamani duniani niwasafiri pls tujiandae na safari ya mbinguni. Uhusiano wetu na Mungu uwe first priority.

tunguriver
Автор

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. AAMIN.

mwananganzi