Nedy Music - Zungusha (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Watu wanatoa ngoma kali, na wako humble, , hawasifiwi, , wanasifiwa kina misifa, , , , big up Nedy music👏👏👏👌😘

jA-oxvz
Автор

Nipe nipe nipe tena nipe nipe nipe tena nimezama kali sana

alvinamumbush
Автор

Ebhana unajua msanii mkali akikutana na producer mkali bas jua kinochotokea ni ngoma hii ngoma unaweza umbea mkopo bank yoyote duniani

ericksonmuhulo
Автор

Wow kama una m'kubali nedy gonga like apa from 1505

arlinequeen
Автор

Hii ngoma inaweza ikakufanya usitamani kucheat sio kwa melody za humu....love from Iraq
Naomba like yako basi

khaleedmustafah
Автор

Kama unaamini #MPEMBA ni fundi sana gonga like twende sawa🔥🔥🔥🔥🙌🙌

zeroeight
Автор

Shabiki wako namba moja uku kenya nimimi hujawai nboesha ata siku moja ngoma zako kali keep it up Broo nakukubali 100%

symongona
Автор

Sjawahigii pata naombeniii zenuu please

juniormexon
Автор

Umeua sana kwenye hii track mpemba...dondosha video sasa

patrickmagili
Автор

Mpemba1 gongeni like twende pamoja jamni

boazmtileghe
Автор

basata fungia hii nyimbo maana Kali sana 🙊🙊🙊

awesoahamadi
Автор

jamani like kwa #mpemba #mmoja jamani kaleta heshima kubwa nyumbani piga like hapa kwake kama unaikubali hii dude.

philiposhilingi
Автор

Zungusha gonga like hapa kama umerejeya zaidi ya mara 10

rasmedia
Автор

we are done de song sound like fire gun

appetizertz
Автор

Nedy usipo like coment yangu najifanya kitu kibaya sana.

kingswebe
Автор

Mpemba mmoja tuu ngoma Kali sana #Zungusha @nedymusi

sharifamohammed
Автор

hiili goma blaza neddy unawezabukaliwekea chorus zako za nyimbo tatu zika kaa na bado likaendelea kua jiwe assume kwa saut ya neddy sem dozeee zungusha nimekwama😀 dude👆

paulbonchallo
Автор

wa 18 kucoment km ww ni team pkp gonga like

eugendawilson
Автор

💥💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤💘💕 Wowww nedy well done 😘

zuleikhaahmed