filmov
tv
JOTI Avuruga Shoo ya NEDY MUSIC, Kilichotokea Tazama Hapa!
![preview_player](https://i.ytimg.com/vi/gUFnxNtGiGY/hqdefault.jpg)
Показать описание
JOTI Avuruga Shoo ya NEDY MUSIC, Kilichotokea Tazama Hapa!
Mchekeshaji nguli Bongo, Joti, amewavunja mbavu watu waliohudhuria katika shindano la kupika keki lililofanyika katika ukumbi wa King Solomoni jijini Dar.
Joti aliwachekesha watu baada ya kwenda kuokota na kuweka mfukoni kwake pesa alizotunzwa Mbongo Fleva, Nedy Music, wakati anapafomu kwenye shindano hilo.
Shindano hilo ambalo limehudhuriwa pia na Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, limewakutanisha watu mashuhuri mbalimbali waliobobea katika fani ua upishi wa keki ambapo mwisho wa shindano mshindi akakabidhiwa zawadi yake.
#JOTI #NEDYMUSIC