Tunapendana (Ishara) -

preview_player
Показать описание
Singer - Sabah Salum
Lyrics -
Music -
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sura zimeshafanana nyonyo zimeshashibana
Penzi lililoshikamana tuenzi ya Rabbana

abdulhamidkificho
Автор

Special dedication to my wife, sweet mama kijacho. Kumbuka mbali kabla ya ndoa hadi sasa miaka mitano ndani ya ndoa. Still fresh, Allah atujaalie kila la kheir katika maisha haya. Kila neno kuntu. Old Goldie

abuwaleed
Автор

Masha Allah a special dedication to my Hubby 5 years in marriage ALHAMDULILLAH

zahrasalim
Автор

Sura zimeshafnana nyoyo zimeshibana penzi lililoshikamana tuenzi ya rabbana heee mazuri hayo

loccdabrain
Автор

Bibi eeh naaam bwanaa
Ndivyo tunavyoitana
Doh utaniua mm

abdallahsanze
Автор

Wow I'm from Somalia 🇸🇴 I like ❤️ Tanzanians People's 🇹🇿 and love Taraab of Zanzibar

MohamedAli-mcpo
Автор

Mashallah Allah old iz gold ilove swabaha songs iz perfect mashallah Allah like yangu from Kenya

ashamusa
Автор

Taarab itabaki kuwa juu...mashairi yamepangika na sauti nzur, ujumbe unafika inavotakiwa....sabaha unasauti nzur mamaang😍

mamyhuuhuu
Автор

Mashaallah mashair mazur kusikiliza kwa wale waliopata wanaowapenda sisi wengine tunasindikiza tu 😔

asmatwalib
Автор

❤❤❤❤❤ishara niliziona mwanzo na we IS GOLD

fadhilarajab
Автор

❤❤❤4REAL ATA WENYE KUCHEZA HIZI ISTRUMENT ZA TARABU NI WAKALI

SolomonNganga-fv
Автор

Ishara niliziona, mwanzo nawe kukutana
Habib hukujiona tukaanza kupendana

Si leo wala si jana, ni zaman tena sana
Wazaz walipo ona shauri wakapeana

Pande zote kukutana nikkahh na kuoana
Sasa ni bibi na bwana, raha kufurahiana

abdulhamidsuleiman
Автор

Bibie na mbwana ndivyo tunavyoitana tamtam kila namna daimaa tunapeana

FathiyaTwalib
Автор

Asanta mama wimbo huu niliupenda sana hadi nikamshauri cameraman wang aueke Kwa video yng ya harusi

seniorgago
Автор

Viva Old Is Gold Taarab Zanzibar
Ahsante Shangaz Sabah Muchacho
Ahsante Dada Nuru Muchacho

abdulhamidsuleiman
Автор

Sabah Mashah Alah.Nyimbo zako zilikuwa Nzuri.

khalfanambari
Автор

Special vocals Special sounds hakikah ni wimbo mzuri bado latuona si sababu kutengana ❤ my has B

AshaShaib
Автор

Maashaallah..! namshkuru m.mungu kwa kumpa afya mke wangu kipenzi Amina. leo miaka 11 sasa ktk ndoa bado tunapendana

muhidinabdallah
Автор

Habibty inta mashaalla mashaalla from Muscat love yuu always💋💋💋💋💯💕💙

selaboy
Автор

Nakumbakaah wakati ule mwanzo wa mahaba yetuuu
Sito sahau enzi zile awali ya raha zetu

Wewe na mim vile vile hatukuvunja utu wetu
Tulingoja mpaka pale hakhi na halali kwetu

abdulhamidsuleiman
join shbcf.ru