Huyu ndiye rafiki na meneja wa zamani wa AKA aliyepigwa risasi na kuuawa pamoja naye

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

South Africa 🙌Marekani🙌Mexco🙌Tanzania panya roas

mnyangabejowrlicecy
Автор

Duuuu naona alukuwa napenda Stella beer my favor drink for real, ,poleni Sana

ericlulela
Автор

Aisee wasanii wanakitu kikubwa sana cha kujifunza hapa

marymasuka
Автор

Tebero ndio meneger mkuu South Africa ana migahawa sana cape tonw is big boss

pastoraile
Автор

Duh! Tanzania waendelee kuweka sheria za silaha aisee.

Cyper
Автор

Roho mbaya ndio 7bu ya mabaya kutokea 2we na hofu ya MUNGU.

fatumajumanne
Автор

Huyu jamaa aliuawa wakati gani wakati camera inaonyesha aka ndie aloyepigwa risasi na muuaji akakimbia huku mwenzake muuaji akimkimbilia nyuma mwenzake naomba majibu jamani

datusonlinetv
Автор

Real painful niggas rip 😢maisha ya hapa South Africa ni atari sana kilamtu anabuduki trust me 😭🙏🏿

tajiriadamu
Автор

Uyu AKA girlfriend wake alijiua kwa kujirusha kwenye gorofa akafa mwaka juzi
Nahisi hio pia inaweza kuwa sababu ya yy kuuliwa.but mmh south sio pahal salama pa kuishi

vivianoforo
Автор

Alkiba ajifunze kuwa na bodyguard na ulinz mkal kama diamondplutnamz

prospermbwambo
Автор

Anafanana nae naona walishindwa kumtofautisha

peninashungu
Автор

sielew footage inaonyesha muuaji kampiga risasi AKA kichwan then kakimbia, alirudi muuaji?

beatriceclemence
Автор

SA na USA, kwa bunduki unanunua kama chips sokoni,

D-Man.B-Free