KIBENTEN (FINAL)

preview_player
Показать описание
#kibenten #kicheche #kichechecomedy
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ASANTE MUNGU HATIMAE TUMEMALIZA TAMTHILIA YETU PENDWA YA KIBENTEN, , ASANTENI SANA MASHABIKI KWA UPENDO MLIOUONESHA KWENYE TAMTHILIA HII, , HII IMETUPA NGUVU ZAIDI YA KUANDAA KAZI NZURI ZAIDI KWA AJILI YENU WATU WETU, , TUNAWAPENDA SANA TUKUTANE KWENYE TAMTHILIA IJAYO ASANTENI🙏🙏

kicheche
Автор

Yaani kicheche angajua hii movie tunaifuatilia walai angeanza tu kupanga ingine😊😊😊anaekubali like tia like 😅😅

musasarunimuleu
Автор

Tunashkuru sana kwa kutuletea filam yenye mafunzo makubwa sana kicheche tunaomba utuletee na nyingine kama hii

angelinamgaya
Автор

Luta man you played your part nicely much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

dancanodworybuluma
Автор

Great movie, Great characters, Great final.
We need another one like this...🔥🔥🔥🔥🔥

prof_ras
Автор

Kama umetazama kibenten mwanzo mpaka mwisho naomba likes zangu

warlie
Автор

Congratulations Ruta Man, kicheche mlinzi kweli mahabuba amemuacha kicheche.

KaswarraKabagambe-guzm
Автор

Kicheche nakuombea mazur zaid kwa mungu, uko kwenye nafasi yako itumie, Kwan kila kitu kina wakati wake, huu ni wakati wako!!! ❤❤❤🎉🎉🎉

malimindilla
Автор

Kicheche never disappoint I love this man kumbavu zangu mbwa mimi 😂😂upwiruu😂😂 mpange sasa mtoe ingine

LinetMwende-yoif
Автор

Much love from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 never disappoint kicheche 😂😂😂😂

NathaSMART
Автор

❤❤❤MANZEE NILIJUA TUH KICHECHE NDO ATAKUWA GATE MAN😂😂😂😂 SAWA NAKUBALI SANA LUTA HE IS BRINGING IT INTO KICHECHE GOOD WORK PLEASE TOA NEXT SEASON SOON. THANKS SANA ..

faieshikoo
Автор

Kwanini inaisha man twende paka 20 man more from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 man

DavidSimwinga-onzu
Автор

We Say Thanks For This Opportunity To Give Us This Movie , We Proud Of You And Your Team🎉🎉🎉🎉

BAHATIKIBA-ulwx
Автор

I followed it from the beginning, it's wonderful, amazing. When watching, I sometimes feel sorry of myself because I find that I take part inside while outside and become one of characters. Keep it up 💯

buhangaradjab
Автор

Duhh yaan hii movie mmejua kuitendea haki mana imeishia pazur sanaaa bg up wadau 2naitaj tna 1 km hii ❤❤❤

Sayd-pilq
Автор

Wow tulikua wote EP 1 hadi ya 17 Asante sana timu kibenteni ❤❤❤❤❤ one love from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 one zambia one nation

AmaniMgalla-ebll
Автор

Mbwa mimi pumbavu zangu you never dissapoint😂😂ulimkataa mama mzazi kisa mapenzi, daaah😅😅😅

phillicemalika
Автор

Dah jamanii kibenteni yetuuu 😢 tulikupenda ila kicheche kakupenda zaidi, mnisaidie like 5 tuu maana sitaiona tenaa 😢😢😢😢 daah

jamsonjasson
Автор

Kicheche mlinzi, , , I LOVE YOU GUYS MUCH LOVE FROM KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️

danrebozrebel
Автор

aise mwisho wakicheche noma sana adi mbavu zangu zimeumia

SaidiHamzaRamadan-wrsx