MADHARA YAKUCHEAT UKIWA NA UJAUZITO

preview_player
Показать описание
Video hii inaelezea madhara ya kufanya mapenzi na mwanaume mwingine ukiwa na ujauzito wa mwanaume mwingine. Ni matumaini yangu video hii itakusaidia kuhakikisha mwanao anazaliwa akiwa salama. Narudia tena kusema kuna madhara makubwa sana mwanao tumboni anaweza kuyapata kwa wewe kufanya mapenzi na mwanaume mwingine tofauti na baba wa yule mtoto na yote haya nimeyaelezea vizuri kwneye video hii. Tafadhali Subscribe, Like na Share video hii iwapo umeipenda.

Mawasiliano: 0686527039 Watsapp
#MadharaYa #UkiwaMjamzito
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Je kama mume yupo mbali kwenye utafutaj n mm mjamzito nikashirik tendo na mwanaume mwingine kwa kondom napo kuna madhara dokta?

PaulinaSemindu-obde
Автор

Je kama nime beba mimba nje ya ndoa na pia baba ajajua yake kumbe ni ya mwanaume wa nje

ZaiWaside-ldoj
Автор

Duh kam kakutelekeza kakimbia utamkamatia wap sas mnasem tu

JescaMkali
Автор

Samahan dokt kama tayar umeshafanya utafanyaje kujitibu

mariamukingazi
Автор

Samahani dkt.kma umeshiriki tayar tendo hilo niufanye vip

saidsomar
Автор

Kama baba wa hyo mtoto haypo haina madhara kutokushiriki tendo

saidfatihia
Автор

Na kma hayupo na umeshafanya inakuaje ili kupata tiba

nayzerjuctine
Автор

Samahan Dr. Ikitokea mama huyo ameshashiriki afanyaje?

estherezekiel
Автор

Je bba mwenye ujauzitoo akacheat alaf akaj kkutana na mm tnaa je n madhara gan nawez pataa??

maryamongalah