Daktari aelezea madhara ya unywaji pombe kwa mama mjamzito, idadi inayotakiwa katika unywaji

preview_player
Показать описание
Mtaalamu na mshauri wa masuala ya afya, Dk Elisha Osati ametaja madhara yatokanayo na pombe kwa wanawake wajawazito akisema kuwa yapo yanayoonekana mwanzoni lakini mengine hugundulika baadae.

Dk Osati ameyasema hayo leo Julai 13, 2023 alipokuwa akizungumza na Mwananchi Digital ambapo amesema kuwa miongoni mwa madhara hayo ni pamoja na mtoto kuzaliwa na uzito mdogo, kuwa na mgongo wazi, kichwa kikubwa, kutokuwa na akili nzuri au kufariki na hivyo kusisitiza wajawazito kutokunywa pombe kipindi chote.
Рекомендации по теме