AY Masta - Yule (Throwback)

preview_player
Показать описание
(C) Unity Entertainment

AY Masta's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Ay Masta

Follow Ay Masta on:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wangapi tumerudi hapa baada ya kutoa remix na marioo

DLSbestgoals
Автор

After Remix ila hii Original Vision ni Bonge la Wimbo June.2024

nyuniclick
Автор

Kama imetoka Jana Vile...✍️ AY MASTA🇹🇿🙌🙌🎤🎧🎶📻📺

johnrichard
Автор

Sai staki kuskia mangoma za Tanzania Tena....am supporting kenyan 💯. Ngoma ni

johnbarasa
Автор

A great tune by ay produced by a UGANDAN producer Steve jean the vedeo was also shot in uganda

salimmagala
Автор

Vitoto vya 2000, vinasema hii ndo remix.
Shaaa

Ikunji
Автор

Legends, hiki ni kionjo sasa! Rudini sasa kikamilifu, kihardcore fulani hivi 😊

mimibusarachibu
Автор

2024 bado na enjoy good music
Kutoka kwa Master AY

andrewsteven
Автор

Natamani mpaka kulia nakumbuka izi nyimbo miaka nyuma nilikua Niko shule ya msingi nilikua nazipenda sana wakat huo nilikua atasijui ugumu wa maisha saiv nimekoma

Amiduupoletengesa-fq
Автор

Una balaa sanaa Mwamba, hakuna alie bugi, umenyoosha sanaa, jamaa nae kiboko sanaa cores

DavidKaonga-bzmg
Автор

Vijana ujumbe huo Toka Kwa singasing, wazamia chumvin washajifia

pademwanaharakati
Автор

tumekutana Gym yaani sijui nafanyaje. kumwambia ndio siwezi
NAMPENDA SANA JINSI ALIVYO

rajabuabdallah-ce
Автор

Daaaah ilikuaga noma sana hili Pini. Ila hakunaga mtu mwembamba duniani aiseee

jobbyandrew
Автор

Yeesahaa!! De Masta.. upload the Remix, featuring our own Deux Vultures please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

davidosodo
Автор

Hiyo kitambooo, ila ngoma ni Kali mnoooo

selemanishabani
Автор

Aaaah qudadekii sa mbn kawimbo kafupii wanang 😢

victormwambene
Автор

Young Star Kati Kati ya Magwiji 😅... Jamaa amekubali kuwa ni mdogo Kwa Tungo pia perfect sana

faizhassan
Автор

Mbn kam hii ndo remix af ile ndo yenyew

Drawerpainter
Автор

Simbaaa uo ujuzi umeutolea wapi kwni unajuwa had unkere 😂

KassimMakame-dqnq