AY Masta Ft. Juma Nature - Masta (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
(C) Unity Entertainment

AY Masta's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Ay Masta

Follow Ay Masta on:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Gonga like kama unaitazama ngoma the wise 2024 🙌🙌🙌🙌🔥🔥

StarGwanta
Автор

Noma sana, umenikumbusha Msanii Cassidy am a hustler 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

lyriqalmusiq
Автор

Hizi ni aina ya ngoma ambazo tumezimiss kwa muda mrefu. Hongera Masta. The real testimony

samuelngondeonline
Автор

This two legendaries still untouchable in the real hip hop

raymondmevamose
Автор

Mad thing was waiting for this Good Sound Legendary AY and Nature 👑🏌️‍♂️🎹🔥

sultanadam
Автор

Huu siyo wimbo wa ibada ya bongo flavor bali ni misa takatifu. Young Generation sikilizeni hii mpate kupona Amina

balivumulugiye
Автор

The real Hip Hop is back, legendary shit 🔥🏴‍☠️👑

ibrahimshayne
Автор

AY ni MASTA sio bosheni,
Kama hauelewi punguza MASTA basheni,

akonshazmusic
Автор

Best of the best. The real OG, the illest, realest Masta AY kutoka zama za kale.

africainsider
Автор

Wenye muziki wao utawajua TU 🔥🔥🙌🙌🙌🙌.... # Tanzania music owners... You gonna know them 🌄🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌

noonelike
Автор

If you don't feel this sound..I swear you are bewitched..🔥🔥🔥🔥🔥

eidyvanny
Автор

The king 🤴 of the hip hop in East Africa!! Ulikuwa wapi hizi siku zote!? Nakupenda

kubwayophanuel
Автор

Kwenye korus, upele umepata kucha refu. NATURE.

mathiasbuyobe
Автор

Kwa Huu Mdundo + Vibe Liliopo Humu, naiona Remix ya hii Kitu ikitendewa vyema na MaOld-Skul Akina FID-Q, Nikki Mbishi, Wakazi, JCB, P-Mawenge na Stamina kwa Mbaaaaliii😆😂...
"Viva Masta Viva"

nicholauslema
Автор

you have touched the emotions of many of us growing up in this generation where this music is completely unheard of and that is why we are addicted to old skulz vibes and it does not mean we live in the past no but what we are trying to do is use the past as part of interpreting the future through your art .. thanks bro keep it up🙏🙏🙏

stiffmenake
Автор

Sasa sikia we sensen master mwenyewe tupe lingine tena na kiroboto

suwedinamga
Автор

You Belong here Zee, kule pengine ulikuwa unatupotosha.

Big up Master. We need this kind of flavor.
🙌🙌🙌🙌🙌

eliakimusikawa
Автор

This track made me travel through to early 2000s era whereby Passion and Love for Bongo Rap and Bongo flavor controlled the masterly and creativity of the craft.... Money was just an Outcome.... Not like this Generation Wacky Rappers and Singers....

pellestianomasai
Автор

Mzee umeuwaaa nakumbuka enzi izo nalima zangu alizeti nasikiliza ni Raha tu maisha yalikua lami na similiki hata nyumba mjini

ibrahimjoseph
Автор

'A' to the 'Y' Mastaa mwenye, Ni shata mzee wangu... Ngoma kali sana

nodiebwoy