TABIA za WATU wenye MWANYA (Usiwachukulie poa)

preview_player
Показать описание
#Mwanya #Tabia #Ipmmedia
mwanya ni kitu cha kujivunia sana endapo ukiwa nao. Hizi ni sifa zao. Mambo mengi yamekuwa yakisemwa kuhusiana na watu wenye mwanya Sasa IPM MEDIA tunakwenda kukuthibitishia je yana ukweli Wowote? Tazama video mpaka mwisho ili upate uhondo wote.
Keywords:
Siri usizozijua kuhusu watu wenye mwanya
Wanawake wenye mwanya
Siri za mwanya
Watu wenye mwanya
Tabia za watu
Sifa za watu wenye mwanya
Saikolojia
Ipm media
Elimika online
Tooth gap
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana .hii imekaa vzr na imenisaidia sana

echosoundchannel
Автор

Asante🤲 mungu kwa kunipa mwanya, team mwanya ngoga like tukipita 👍

favourmargaret
Автор

Alafu kuna Mimi APA aaah kununa siwezi😂😂😂😂❤❤❤

achouraachoura
Автор

Asante MUNGU kwa kunipa mwanya leo nmejua mengi kunihusu, team mwanya

EddahGamba-tu
Автор

Uko vizuri dada timu mwanyaaa gonga like hapo

ElizaDidace
Автор

Alhamdulillah mungu wangu kunibariki kuwa na mwanya hayo yote unayoyaongea ni kweli kbs jmn wenye mwanya tuzid kumshukuru mungu wapendwa Alhamdulillah

Oman-ueel
Автор

Waooo asanteee mungu kwa kunipa mwanya pia nimejifunza mengi wale wezangu tujuane kwa like❤❤❤

NeemaMbuji-is
Автор

Ahsante Mungu kwa Mwanya, , c mnirushie hizo nambari za simu tutengeneze group ya watu wenye mwanya, am in Kenya 🇰🇪

peninahmwangi
Автор

Hapo ni kweli kabisa asante mungu kwa kunipee ii mwanya yangu

bernismuthoni
Автор

I'm team mwanya too from Arusha Tanzania 🇹🇿, it's better to create a group for team mwanya guys, I thanks God for all that 🙏

SaimonJohn-vs
Автор

Kwa kweli kicheko dawa nayo ninachekacheka Sana😂😂😂 salute 🙌 all gap group

christinamelissamitchaelle
Автор

Nimependa Sana asantee mama team mwanya wote tuseme

imeldayauto
Автор

Team mwanya mko wapi dada be blessed asate mungu kwa kunipea mwanya🔥🔥💯

AdmiringChameleon-uwol
Автор

Mungu ni mwema sana kuniumba na mwanya sifa zoteee apewee 8:11

JoyceShafii-ul
Автор

Mr mwanya kumbe tupo wengi gonga like ap Kam ww una mwanya❤

Hamicypher_
Автор

Hiyo ni kweli kabisa, pia hupenda sana"sana amani na ni watu wa tarbia na ni wakalimu sana"sana 🙏🙏pia wanakuanga na thamili za haraka sana kwa mtu ambaye si mzuri na niwavumilivu, May Honor and Glory to the most high God for blessing such pple i like it❤️🌹💥👏👏😂😂💪💪💋👌🙋‍♀️

bernicewanjiku
Автор

Asante Mungu🙏yani ujakosea chochote sifaa zote kama nakuona👌🎂 alhamdulillah

mmll
Автор

Ni kweli kabisa mwenye mwanya anastori za kufurahisha na ni watu wa kutia moyo sana

HappynessJohn-qc
Автор

Ukweli mtupu. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniumba na mwanya.

marykimani
Автор

Thanks my dear ur right watu wa mwanya tuko na furaha Sana 🤣

phelesiawerimo
visit shbcf.ru