ANGALIA WOLPER ALIVYOINGIA KWA MBWEMBWE KWENYE USIKU WA SINGO YAKE

preview_player
Показать описание
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri

ANGALIA WOLPER ALIVYOINGIA KWA MBWEMBWE KWENYE USIKU WA SINGO YAKE

#Bonatv #Exclusive
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Masha Allah kapendeza Sana!!!, mwenyewe mzuri mashallah ata akivaa gunia anapendeza !!! Usimnange mwenzio Bora unyàmaze

latifaantory
Автор

Wallah kwa nguo hiyo, akianguka chini hainuki mwenyewe ng'o😉😂😂

tiffanyakramJr
Автор

Nguo ni nzuri kwa mbele na imempendeza ila kwa nyuma hapana hilo lililo tuna halikuwekwa vizuri limeharibu

rosemahenge
Автор

Sasa nyimbo ya kiingilio mbona mnatoa tena jamani

nsabimanazubeda
Автор

Naomba Jina lauyu mziki unaitwaje wadau

zena
Автор

Hii ni nguo au adhabu mgongo mpaka umeweka mtaro imembana hata kupumua shida, dah shida yote ya nini utadhani amevaa parachuti nguo mbaya haijampendeza hata kidogo.Adhabu mpaka alipoketi kahema kwa karaha aloivaa kwa kujitakia kama ni Mke wangu asingevaa ilo jidubwana

leokamil
Автор

Mama mwenye fashion zake mjini banabakisasa kanzu nyeupe atauwa hadi auwetena

zena
Автор

hii nguo hakujipima mapema mn mgongoni jamani na cameraman wacha ukorofiii ucngemchukua nyuma

zuleikhakhamis