UTAPENDA WOLPER ALIVYOGONGA CHEESE NA MASTAA WENZAKE PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA USIKU WA SINGO YAKE

preview_player
Показать описание
Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri

UTAPENDA WOLPER ALIVYOGONGA CHEESE NA MASTAA WENZAKE PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA USIKU WA SINGO YAKE

#Bonatv #Exclusive
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Maashaallah umependeza nzuri zaidi Huna nyodo

zenakioga
Автор

kila nikiangalia sijaona mwenye simu mbovu.😁..hakika dada wolper umependeza😍

hellennehemia
Автор

Hongera sana Mungu awape baraka za roho I na za mwilini

priscaphedrick
Автор

Beutiful People you look beautiful Godblessing you

nuuringoogle
Автор

Wale big6 sijawaona ila bibi harusi amependeza sana pongezi kwake. 06.11.22.

mariamfritsi
Автор

Siku alivyoachwa na harmonize ungemuambia siku moja ataolewa na harusi kubwa hvi hangeamini kwa machungu aliokua nayo ...But who is God guys ..heals and then Blesses u more h could imgn😊just be patient

hannahkamau
Автор

Alipo Lamata na Dora yupo.wadada na wamama wamependeza sana

m.mmarckus
Автор

Hivyo visimu sasa, hii ni kitchen party?

judyngowi
Автор

Jamani naangalia watu wa kweny pazia cjuwi mtanisaidia kuangalia Alf mkiwaona mnivutie data😂😂😂

zuleikha
Автор

Asiongee mtu dada kapendeza na rangi yke ya gaun imemchukua kabisa na rangi yke ya ngozi ataetia neno ni wivu mtupu

yusrahasnuu
Автор

Elizabeth pia zuchu mama dangote ama hawajaalikwa

najmaawadh