Harmonize - Sandakalawe (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Sandakalawe is a Amapino song in english means a game of chance to compete for valuable things like money whoever succeeds is the winner.

Stream/Download Sandakalawe

The Song Was Produced by Daxo Chali
Mixing and Mastering by Young kiz morento

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762

Lyrics
(Yaw Yaw)
Yebooo

Konde boy call me number one
So much money in the bank money
All dem girls call me honey
Only your love can turn me to a mad man

Leo nakuto….totoo nakutoa kwenu uje kwangu
Nina hamu yakuto….totoo kutoa mahali uwe wangu
Basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa
Said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza
Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza

Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
(mweupee)
Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?

Leo nataka kukuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe
(Yebooo)

(Yeah)
My beautiful baby from juba I wanna take you to dubai
Yes am ready to do that do that
Hasa twende popolipo lipopoo popolipo lipopoo
popolipo lipopoo popolipo lipopoo
Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza
Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza

Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
(mweupee)
Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?

Leo nataka kukuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe
(Yebooo)

Leo nataka kukuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe
Jiandae leo na kuto….too kutoa out
Mimi na hamu ya kuto….too kutoka na wewe
(Yebooo)

#Harmonize #Sandakalawe #KondeMusic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

High School musical ! all the way from Boston Massachusetts 🇺🇸 namkubali uyu jama kinoma yani, he is super genius kwenye good melody and lyrics. Nipeni like ata 10 wanao kubali .

memoryplus
Автор

Daah hebu gonga liki kama umetazama zaidi ya mara moja🇰🇪🇰🇪✔️

BaronBattles
Автор

Mimi sio shabiki wa hamoniz lkn wallah kama mtaamini nishasikirizaaa saiv hii mala ya 7 me hapo kwenye sandakarawe tu🐘🐘🐘🐘🐘jeshi kweli jeshiimy foveret song🥰🥰🥰😍😍😍🇹🇿🇲🇬🇲🇬🇲🇬

zarikassim
Автор

Ambao siku haiwezi kuisha bila kusikiliza Sandakalawe like nyingi kwa Jeshi

raphaeldayos
Автор

Wafundishe jinsi ya kuimba am Christia from Congo now I am uganda I need it bro

christianasimwe
Автор

Hi ngoma naicheki daily .wanaodai mambo ya views ndo wanatupa hype vizuri.254

hermanmwachuya
Автор

Hii nyimbo kaliii jamn achenii masiala heb iskizee harf ukae masaa mawiliii urudiiii usikie ilivyo na mzuka Amapiano mabyo haijawatokea hapa tz ni kondeboy pekee

emflashtv
Автор

Hii ngoma ni kali sana yafaa kufika 20 million hata zaidi

aishamohamed
Автор

Tembo /jesh/comandooi Konde gang 4high school music with sweet melody....hakuna wakulipinga hilo

abedkarume
Автор

Waaah enyewe ni tembo, ,,gas ikishinda tumia makaa ##kenya hapa

mwanzachikophe
Автор

Harmonize should sing again this song in English

mrlau
Автор

Mnachuki kweli, ,na mjiheshimu wengine waache kutumia akili vibaya, ,,respect kondeboy, ,,mtuache sisi maroboti

overdoze
Автор

Harmonise ndio usemi apa 254
All bodabodas song wanacheza ni sandakalawe, , bug up sana bro harmo
#🇰🇪

fadhilisafari
Автор

Wakenya mko huku ama bado hamjafika 😅🇰🇪🇰🇪🇰🇪✅✅
Hormonize all the way 😂❤️❤️❤️

NFS-qw
Автор

Ila wabongo kwakuiba nakubooresha! Mpo vizur. Wanigeria wamekuja na afropop tume wakalisha sasa wazulu wamekuj na amapiano wamesahaulika kabisa

mamalange
Автор

Nice song harmonize wimbo wako wumepigiwa Sana inchini Congo am Christian from Congo I like it

christianasimwe
Автор

Big hit in Tanzania right now, paka uku Mozambique tunasikia iih Sadakalawe.

mesatagirassane
Автор

Amapiano has reached TANZANIA. Konde kills it, and he kills it well. Big up dogo langu.

annasamwel
Автор

Woooo🙌🙌🙌 Huyu dogo kauwaa walae.
Shabiki sugu from Kenya 🇰🇪
#lealtreavo

Realebeatz.
Автор

Lots of people around the world listen to harmonize including East Africa and they value guys from east Africa have bad blood

phelixonyango