Paul Clement - Asante Yesu

preview_player
Показать описание
#paulclement #asanteYesu #happynewyear

VIDEO
Video production: Great Nation
Directed by : Art Majah
Colourist: Iconic Studioz
Edited by :Art Majah

Song arranged by Joel Alfredy
Mixing & Mastering: Mixed and Mastered by: Gydkym Music

BAND
Main Keys: Joel Alfredy
Aux keys: Elisha Korg
Organ: Jonathan Shemsanga
Bass: Sam Bass
Guitar: Haggai Makuzo
Drummer: Drew Chitete

Mixed & mastering:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Watu wa Mungu wote kwa ujumla wenu humu ndani nawatakieni kheri ya mwaka mpya ❤🎉

samaritanmoses
Автор

ASANTE YESU 2024 Tar 7/9 ULINIPONYA NA AJALI YA BAJAJI AMBAYO DEREVA ALIEKUA ANANIENDESHA ALIFARIKI PALEPALE MIMI NI NANI MPAKA LEO 2025 NIPO NINAKUSHUKULU SANA KWA NEEMA HII MIMI NI USHUHUDA ULIO HAI

nvpmedia
Автор

I renewed my relationship with God in 2024 year after being away from Him for a while. His mercies and grace was and is sufficient for me as I'm moving to 2025. I celebrate Jesus 🥳❤

finterstic
Автор

Mungu awabariki nyote ambao mmeweza kufika 2025...
Pia tuwakumbuke kwa maombi wagonjwa na watoto wenye uhitaji

georgejohn
Автор

UTUKUFU KWA MUNGU, Ibada nzuri sana, BARIKIWA SANA mtu wa MUNGU🙏🙏

Kimasa-
Автор

Asante Yesu kwa kunipa mwaka 2025 ninamuomba Mungu unisaidie mwaka huu uwe wa baraka tele na mafanikio kwangu, usiwe mwaka wa vilio, kupungukiwa bali uwe mwaka wa furaha, mafanikio na baraka zote za mwilini na hata za rohoni zikanifuate.AMEN

AthamanRamadhani
Автор

Nakupenda sana Clement, mungu akubariki

josephgiga
Автор

Asantee yes kwa wemaa wako kinipa afya njemaa katika kila idara

Thomas-mtoz
Автор

Paul Clement is a blessing to me ❤❤❤❤ from

lovebahati
Автор

Ahsante Yesu....wow..wow....ni kweli kabisa maana kama siyo yeye tusinge weza....

MichaelJacob
Автор

Asante Yesu, kwa wema wako through 2024 and far.

Mungu akubariki zaidi Mtumishi wa Mungu Paul Clement

francismuchai
Автор

Asante Yesu kwa wema wako hata kunifikisha mwaka huu 2025🎉

joshnellyleviticus
Автор

Asante Yesu kwa wema na uwaminifu wako🙏🏾

ms_beth
Автор

Yesu ni mwema na atazidi kuwa mwema 2025 & forever

JohnNjenga-kjir
Автор

Mon Dieu est bon et chaque fois que I on va liker ma commentaire je vais revenir le chanter au Dieu

JeffJoeNya
Автор

Asante Yesuuu kwa wema wako2025 utakua mwema

BrightNyari
Автор

❤Wimbo mzuri, ila sauti haijakaa vizuri

ustawiwetu
Автор

Imetoka mda sahihi, 🎉 Ahsante Yesu kwa wema wako,

officialeliudcharles
Автор

Thank you Lord for these yr 2025, , , its your grace has enabled us to see these yr, , , am humble b4 You king of Glory, , , Jesus Christ

danielmzae
Автор

God bless you Minister Paul Clement and your team for the wonderful song. I 'm greatful for the year 2025. Being blessed from+254.

Lydia-ww