Chemical - Tila Lila (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Tila Lila Available On
Boomplay:

For Bookings: Contact +255 719360639

Follow chemical on
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asanteni sana kwa wote mnaoendelea kuitazama hii Video..Tafadhari Usisahau kuSUBSCRIBE Kuweka Comment yako na kushare link kwa wengine,

Chemical_Tz
Автор

aisee hiii nyimbo nzur sana unapumzi kubwa sana ww mdada gonga like kubwa hapa kama wamkubali chemical

jacksonsilvester
Автор

Jameni muache jokes...this song is a HIT and it's supposed to be at 5M views plus bana I love ❤️ it soo much it blesses me all I've been searching for the tittle all this time thanks for TikTok i foundit there and feel at

lemisokibiwott
Автор

Ivyo ndo ilitakiwa uimbe sasa umeona ilivyo kaa Poa achana na mambo ya kurap Dada ngoma tam saana umejitahd kunadilika kama unamkubali chemical like hapa

officialsamguitar
Автор

Mkenya wakwanza kumkubali Chemical😍😍😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakupenda bure chemical aki😍😍😍

Kama nawewe umemkubali chemical gonga lyk

itzmuzick
Автор

nililewa tila lila uliposema hunitak tens🔥🔥🔥🔥kama unaikubar ngoma hii gonga like twende sawa yaaan

harunfamily
Автор

Kwa kumbali chemical gongo like twende sawa

patiencejose
Автор

Chemical hii Ngoma Nimeielewa Sana Umeimba Vitu Ambavyo kila Mwanadamu Anapitia Hasa Kwa Mtu Unaempenda then mkaachana Pasi na Sababu Ya Msingi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

mathiaswambua
Автор

Woooow ! Yani Chemical wewe utaniua haki ya mungu! Umenifanya goose bumps zinitoke kabisa! Kila kitu unachokifanya kina nifurahisha! Maana unakifanya vizuri Sana! Unajuwa zaidi yakujuwa mpaka unakera kabisa! Ok Basi tuu mungu akupe maisha malefu, ili uendeleye kutuburudisha! Love from (Michigan, Marekani+1616) iwafikiye! Original love I was born with from Burundi +257. Ivi chemical wewe nikufanyeje? Kuigiza unajua Sana hata kulia Kama Mercy Johnson was Nigeria unaweza. Mziki pia wewe ni noma! Sasa nikufanyeje? We ni 🔥🔥🔥🔥 tuu! God bless u more for me!!! Replay time mpaka so shibi kutazama na kusikiriza!!!????

mortishavida
Автор

I love you sweetheart you're the best mungu akuzidishie kipaji

eleanorahchao
Автор

Dada imba to achana hip hop pamojq kwamb ndo imekutambulisha kwenye gem kiukweli nilikuwa sikukubali kwa baadh ya ngoma ila kwa hapa nimetia Love u more

mgayamakori
Автор

Kuna wakt ukiskiliza nyimbo utahisi umetungiwa ww 😢😢, unaongelea maisha halisi yanayonisibu kwa sasa.. Big up kwako

rashardpodo
Автор

Ngoma kali sana nimependa stor na ulivyo badirka we ni noma sana mamy

mustaphaassanal
Автор

Naipenda Sana hii ngoma hadi nalia nikiisikiliza ww mungu akubariki kwa ufanyalo love chemical

kajirukapande
Автор

chemical narudia kila saa sichoki yan nimeipenda sana

paulmdas
Автор

Haki tena napenda sauti yako nyimbo zako pamoja sura yako...umenituliza kwa moyo

MartinNzole
Автор

dah yanii hii ngoma inanifanya nimuone sister chemical hujawahi niangusha love mingimingi yani upendo kama 👌👌👌😘😘😘😘🔥🔥

epifaniamponda
Автор

Nakubali sana. ❤️❤️❤️ Hujawahi kuniangusha💪💪💪

salomeotto
Автор

mamaaaa you kill it haki natamani wakuelewe kama nnavyokuelewa chemical shenzy kabisa, mambo gani kunifanya kila SAA namaliza mb kuangali

missbartanzania
Автор

Aisee unajua tunaangalia nyimbo YouTube kwa mazoea nilikuwa napita kwenye hii nyimbo maana nishazoea kuwaona wenye Kik zao kumbe huku watu wanatoa vitu vikali, nyimbo nzuri haki we mdada umeimba poa hii, the best one hongera sana

laizsuke