Waziri wa afya Samburu Dkt Lekudere awaonya wezi wa dawa katika hospitali za umma

preview_player
Показать описание
Waziri wa afya Kaunti ya Samburu Dkt Nasir Lekudere amewaonya maafisa wa afya wanaojihusisha na wizi wa dawa katika hospitali za uma ziliko kwenye kaunti hiyo. Lekudere alisema hayo alipopokea dawa za thamani ya shilingi milioni 80 kutoka halmashauri ya usambazaji dawa humu nchini-KEMSA

Connect with KBC Online;

#KBCchannel1 #Kenya #News #KurunziMashinani #TheGreatKBC
Рекомендации по теме