Saida Karoli - Mama Samia

preview_player
Показать описание
#SaidaKaroli #MamaSamia #djmido #music #trending #asili
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Saida mama ❤❤❤ wakwanza hapo naomba like moja 2

official_kingnabiryOg
Автор

Mama kafanya mengi sana Tanzania yetu asantee sana Saida kwa mama mpendwa

SADAJUMA-rb
Автор

Sijaona msanii wa asili mbunifu na ambae hachuji kama saida, mm niwaombe wenye uwezo kiuchumi wamuinue upya ni ngumu kupoteza mtu kama huyu kwenye raman za music, tutakua tumefel pakubwa

PastoryWamara-sn
Автор

Mama samia hajafanya lolote kubwa la kushangaza isipokuwa ametekeleza miswada yote iliyokuwa mezani kwao tangu enzi za mwenda zake
Anastahili kupongezwa kwa ujasili aliovaa wa kuingoza nchi na watu wake. Maana. Kuongoza watu si jambo dogo wala halijawahi kuwa Jepesi hata siku moja. Big up kwa Mama wa Taifa Amin

EdsonGoziberth
Автор

Asant sana dada angu Saida "!!!!🎉🎉🎉🎉🎉wakola mno

RabsonSalmon-ysbf
Автор

Oyekome oyekome Mama Samia .Good song❤

KaningoGoldian
Автор

Nuimbo nimeipenda sana mama Samia kafanya mambo makubwa sana

AmzaMaimba
Автор

Goma la kwenda ila tatizo mlengwa sasa tinkumkubali hata robo

fridoliusrushunju
Автор

Unfortunately, Her Excellency Samia Suluhu disknows her for recognizing Saida Karoli for her fame on Presidency...

palukumuhindodieudonne
Автор

Gostei dessa musica, mais a linguagem nao percebo uque diz.

PauloFernando-nmbf