Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide - Waah! (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Diamond Platnumz Teams Up With The Legendary Koffi Olomide On A Hit Song Waah!

Get The Song On Audiomack
Boomplay


Diamond Platnumz Booking Info:

Catch Up With Diamond Platnumz On:

Plus d'infos sur Koffi Olomidé / More info on Koffi Olomidé
Facebook :
Instagram :

#Diamondplatnumz #Wasafi #Koffiolomide
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Uganda, Rwanda, Kenya, Sudan Kusini, Burundi na Tanzania ! Umoja wetu ni nguzo yetu !

Kiswahili chetu ni umoja wetu !

umojaafrika
Автор

Simba ametua WHAA much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 majirani wetu tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mpooo gonga like tukisonga

djafrokimoda
Автор

Huwa sipend like ila kwa hii nyimbo naomba like tano tuu #Simba #KingKoffi #WCB4Life #Waah

twalibtz
Автор

wimbo wa hali ya juu...all da way Zimbabwe ... Nakhuphenda Kiswahili songs ..., 🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿

saunyamathegreat
Автор

#Kenya tumeipokea Vizuri hili Goma, na naomba japo like 10 basi na kama nilikukosea ndio hata unaninyima like Naomba unisamehe tuishi kwa Upendo💪💯

bekkamontana
Автор

Simba mwenyewe.. Tunamkubali Kama wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Rowlan_nalito
Автор

Nasemaje team WCB no stress kabisa..kama unakubaliana na mm niweka like twende sawa...Team WCB..Team mondii...Team KOFFI OLOMIDE

saidlusona
Автор

Nice one bro Simba nakukubali daima wcb for life ipo siku tutatacheza kolabo

maasaiboy
Автор

First Zimbabwean to comment. On behalf of my beautiful and intelligent people i say Zimbabwe approves 🇿🇼

ndruflexrey
Автор

Batoto wa kongo (DRC) 🇨🇩 na batoto wa tanzania 🇹🇿 jambo 😅 boss ya mboka bravo pour ce featuring avec Diamond. I’m from Congo but I love Diamond’s music and koffi is also my favorite singer. Mina furahi sana 🔥😊

glodielobanda
Автор

Wasoma comment tujuane like hapa Mond Fundi, Sauti ya Koffi olomife Ni 🔥🔥🔥

Bm_Mwakalobo
Автор

Nilikuwa simkubali simba ila kwa ili dude. nakufaaaa

churamantz
Автор

Tanzania na RDC ni moya, congratulation to Diamond for featuring with Koffi, Fally, Inoss, wa Tanzanienne buko wapi??? nawapenda

dsswedois
Автор

Dah!! Mond ngoma zako zote cjawahi pewa hata like kufkia kumi.

nkomyajohn
Автор

Eti kushindanishwa na wizz haha hawajui hili ndilo 🦁 big Africa# musc

stivinmassawe
Автор

Wacha Simba aitwe Simba, this guy is Genius, lets not be jealous of his hardwork🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Am team Konde lakini Simba ni Baba lao💪💪💪

kagundamartin
Автор

Kama umenotice III song n dedication kwa zari nipatie like🤔😄💙🇰🇪🇰🇪🌟

petermuya
Автор

Diamond platnumz is the best artist ever love diamond platnumz 💖

victorialorrainehalm
Автор

Wewwee hebu nipeni like za huyu kijana wetu wa tandale jamani nani atamuweza huyu simbaa mtunduu aaahh tunakuweka kwenye top afrika mashariki ndani ya London.

serianjamal
Автор

Baada Ya Kuona Diamond Platinum Kaipost Waah? Ukaja Kuisikiliza Like Hapa 🔉 Sasa Ni One Dreading 🔥🔥🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

benmagaya