NENDA SALAMA RUGE | THT & MPOTO GALLERY

preview_player
Показать описание
Tht & Mpoto Gallery, Wamuimbia Ruge #THT #MrishoMpoto #MsibaWaRuge
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Gonga like hapa kama bado unautazama huu wimbo 2024

josephbakari
Автор

Kwa wanaoendelea kuangalia crip hii bado nipe likeee

johnnakei
Автор

This song came to my mind after the death of Pombe Magufuli.
Pole sana watanzania....mungu amrehemu na amlaze mahali pema peponi.
Watanzia mungu awatie nguvu nduguzanguni.
Ni uchungu ulioje????
Uchungu usio na mfano.
Love from
Can't control my tears....I can't

jeps.e
Автор

R i p RUGE🙏🏾
Nmefikiria Mengi sana i had to coMe listen to this song again Miaka kadhaa baadae

MiaTheLathini
Автор

huu wimbo unaliza kweli.... listening from Kenya 2020. Rest in peace bro Ruge, a man of the people"Nenda Salama".

agesag.m
Автор

Mrishi mpoto this is a great peace, may God fulfill your broken hearts, poleni sana ndungu zetu.

clariceimali
Автор

Clouds Media Group should set up an award for journalists in Tanzania in honour of Ruge Mutahaba.I respect Ruge i was to work for Clouds Media Group then i was offered another job here in my home country -Kenya but i still love Tanzanians.

BIKORADING
Автор

I can’t stop listening to this. Mpoto you did it!

teophorymbilinyi
Автор

God will remain a god no one cancompared with you ruge byee

anibarikimsigwa-qmpl
Автор

😭😭😭😭😭...waah duniani matembezi kweli..nyimbo inaliza ...rip Ruge...mbele yako nyuma yetu

maggiechipepe
Автор

Ntaendelea kuusikiliza huu wimbo mpaka. Mwisho wa maisha yngu

winfridakasindye
Автор

2019 mwaka mbaya zaidi, mwaka nmempoteza kaka yangu mpendwa kabs, nyimbo inatugusa wengi, R.I.P Ford Mwamunyange, Ruge na wengine woote waliotangulia

henryford
Автор

Bado nausikiliza, bado nasikitika!!Nenda ndugu, nenda...kama na wewe bado unasikiliza twende pamoja

godfreykirway
Автор

😭😭😭😭 Mungu wangu eeeh kifo kwann uliubwa yaani mtu unajikuta unamlilia mtu usie mjuwa . R.I.P RUGE 😭😭😭

esterabonga
Автор

blessed your memories Ruge Mutahabwa! you would have been 50yrs May 1st 1970 when Mr and Mrs Mutahabwa beheld you as their first strength Glory to our God. we bless God for your life. you was a blessing to Tanzania. we thank our God for you sir....Ruge Mutahabwa!

chaomadedo
Автор

Siwezi Kamwe Zuia machozi sasa nalia! Najifunza sana umuhimu wa kuliishi kusudi Mungu analokuitia duniani. Ahsante Mjomba Mrisho kwa kumwimbia Rafiki wa Wengi, Rest in Peace Ruge.

eldertollag
Автор

Unapokwenda Soote hatupajui Mungu, pekee....nimependa hichi kipande unapokwenda hatupajui ...Mungu pekee ndie malizia...km nawew umeipenda

isihaqashida
Автор

Kifo ni kitu kibaya sana....pôle Sana ndugu zetu his Soul Rest in Eternal Peace

naoumijepkogei
Автор

nenda ruge na sisi tunakuja hukohuko tutaonana tena mpendwa wetu tulikupenda ila mungu amekupenda zaidi ruge

vickiemarco
Автор

NURUELI you kill it, its so emotional even tears flow without know because of your voice

wazarendotv