(Video) THT- Asante Baba

preview_player
Показать описание
#JasiriMwongozaNjia #RugeMutahaba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyimbo zenu bdo zinanitoa machozi daaa mwenyewezi mungu ungetuachia ruge bdo tunaumia

amosimusso
Автор

Missing you father sana yaani Leo ndio imenihit ni real hatuko pamoja kwenye hili gurudumu la Dunia #respect sana kwako mlezi wangu

KIZOB
Автор

RIP shujaaa poleni sana watanzania na africa mashariki kwa jumla kwa kupoteza kiongozi, mentor and man of the people

mikeondhowe
Автор

This guy was one of the greatest young leader Tanzania had RIP RUGE

jabalimikechi
Автор

Ruge nenda nipo nyuma yako ila bado nakuenzi na Mungu akupe pumziko salama🙏

rutashobyanovath
Автор

Rest Easy brother Ruge
Ameen asante watoto wa Ruge mnaniliza kwakweli nyimbo nzuri

mohdyussah
Автор

r.i.p Ruge akili yangubado haiamin kama role model wangu umeondoka duniani pumzika kwa aman one da nitafanya hija kwa kaburi lako pumzika kaka

orastomapunda
Автор

Namshukuru mungu kwa kila jambo kwakua mungu akosei lazima maisha yaendelee lazima maisha yaendelee rip ruge

stevenmeshack
Автор

Machoozii huzunii, ,mungu atujalie tulio bakia R, i, P ruge, inatupasa kutengeneza njia zetu tulio bakia

petermdabwa
Автор

Miaka 20 ya CLOUDSMEDIA nimerudi kuangalia safari ya mwisho Ruge mutahaba R.I.P Shujaa

attumwakyoma
Автор

2023 Hii Lakn Bado Hii Ngoma Inatutoa Machozi

abasikiluwasha
Автор

Poleni sana mwaya mmelia sana waume kwa wake, Iliobaki kumuombea kila tunapomkumbuka, kwani wake wake Hauwezi futika,

sadasaid
Автор

R.i.p Ruge tunakukumba kwa hekima busara zako

rehemamshiko
Автор

Amazing talent rest inpeace ruge mutahaba

wemakalam
Автор

Ya tanzania one soul ni konkiii R.I.P luge

lufufu_mkandala
Автор

rest in peace ruge, nice emotional song #tht

funnycomtv
Автор

Hard to believe but that's the only Rest in peace Ruge

elisawangare
Автор

Rip kaka Sijui kama atatokea mtu kama huyu mwenye kuliliwa mpaka leo

sadasaid
Автор

Bahati mbya juu ya kusafisha njia n sasa baada ya kufa hakuna up mlango

lwali
Автор

Kifo kinaondoa ndugu jamaaa na marafiki inauma xana

gericooberd