TAJIRI ALIYEFILISIKA ASIMULIA MACHUNGU: SIPENDI TENA PESA/ KWA MGANGA!

preview_player
Показать описание
MWANANCHI WA IRINGA AITWAYE RAMADHANI AMESIMULIA KWA UCHUNGU KISA CHACHE CHA KUFILISIKA, ALIISHI ULAYA NA KUFANYA KAZI KWENYE MELI (BAHARIA).
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News

#MAKOSA #UTAJIRI #IRINGA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama umekuja apa baada ya post ya diamond gonga like

DARBOY
Автор

I'm here cause of Diamond Platnumz told us to watch this Interview.✌🏻

tariqdasulley
Автор

Hongera sana Makosa kwa kujitoa mpaka umejenga Hosp kwa kujitolea Mungu Akubariki Sanaa From Ukonga Dar

joycemuhoja
Автор

Wanawo subiri kipi Diamond atakacho musaidiya huyu mzee ... More blessings kwako Diamond 💎

jmc
Автор

siku zote maji na mafuta hujitenga tujifunze kuwa wakweli maishani mr Ramadhan mwenyezi MUNGU azidi kukulinda na kukupa afya njema 🙏🙏🙏🙏

elvismabena
Автор

Moja ya interview bora kuiona. Hongera nyingi kwa mwandishi/mhojaji. Umeitendea haki sana hii interview. May God Bless you Mr Makosa...

MichaelGaudence
Автор

Nimeitafuta hii interview baada ya daimond kusema kumsaidia huyu Mzee ...wow mungu atimae amemuinua tena wow..nimefurahia Sana Kwa Daimond kumsaidia huyu Mzee..mungu atamlinda nayeye Daimond kwakumsaidia huyu Mzee...safi Sana daimond hakika umenigusa Sana na umenifanya nikupende zaidi Daimond

jamilaathumani
Автор

Legendary never die, Allah amekuondolea mali amekupa Furaha, Big up sana bro

mussazuberi
Автор

Huyu anaitwa makosa mjomba etu wa iringa tumesha imb sana anapenda sana miziki pia ana tujali sana wana muziki

ibrahipupa
Автор

😥😥😥... maisha ni safar ndefu sanaaa tusichoke kumuomba Mwenyezi Mungu 🙏

mariambwambo
Автор

Mzee yuko poa sana. Moja ya funzo tosha. Interview mzuri sana.

mahmoudaziz
Автор

Makosa aliwapenda sana watu!! aliamua kugawa utajiri wake kwa masikini.Ndiyo maana pamoja na kufilisika bado ana furaha sana.Makosa hapendi pesa ila anawapenda watu!!Mungu atamlipa kwa wema aliowatendea watu.

ramadhanimbulu
Автор

mtangazaji good na interview kali ..bless up dar 24 media ..tumejifunza mengi.

innocentrichard
Автор

Kama na wewe umekuja baada ya kuona kwenye status ya Diamond, gonga like.

iamchum
Автор

Yuko real sana huyu mzee ila ndo life ups and downs zpo na hazizuiliki Mungu wetu sote

hassanfundi
Автор

Daah. Mzee kanikumbusha mambo mengi sana. Kanizidi umri ila amepitia humo humo ambamo na mimi nimepita. Ni ku.shukuru Mungu kwa kila jambo. Asante kwwa maahijiano mazuri. Where is mwendelwzo wake?

steveonline
Автор

Nasikia huzuni lakini nampenda huyu mzee mwenyezi mungu ampe umri mrefu 😘😘😘

jennifersunday
Автор

Father makos history nzuri sana the best 2022🔥🔥😭😭😭inasikitisha inafundish na pia inaelimisha mungu yupo nae👊👊🙏🙏👏

mudymrisho
Автор

Huyu mzee nampenda kabisa natamani Mungu ampe afya hadi siku ya mwisho aurithi ufalme wa mbinguni.

alphadreammedia
Автор

At the age of 27 I started a business which costed me 5k dollars and failed, I thought I have failed in life, but this grandpa have thought me something which gives me a new energy of standing again

officialbyson