TAJIRI ALIYEFILISIKA ASIMULIA MACHUNGU: SIPENDI TENA PESA/ KWA MGANGA

preview_player
Показать описание
MWANANCHI WA IRINGA AITWAYE RAMADHANI AMESIMULIA KWA UCHUNGU KISA CHACHE CHA KUFILISIKA, ALIISHI ULAYA NA KUFANYA KAZI KWENYE MELI (BAHARIA).
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News

#MAKOSA #UTAJIRI #IRINGA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kaka hii habari ya huyu mwamba imefanya nakufatilia kwa ukaribu sana
Salute sana mzee🙌
Nime subscribe na account kabisa

christophersendwa
Автор

Diamond kanifanya nije kuisikiliza hii❤❤❤🙏🙏🙏

michaeljpm
Автор

Maa Shaa Allah Mzee Makosa ni genius sasa na ni mtu mwenye busara sana na kama ukimsikiliza sana ushauri wake watu watafika mbali sana Allah akubariki sana.

fauziakarama
Автор

Super smart man, mungu atajaza tena kikombe chako, maana unaongea haki na haki tupu

mgm
Автор

I salute Mr Makosa kwa kazi alioifanya na mafunzo yake hii ni elimu ambayo hauwezi hipata darasani mwezi mungu huumpa amtakae na, na humnyima amtakae kwa sababu zake mwenyewe Allah akufungulie mlango mwengine utainuka tu bwana Makosa. Na nawapongeza sana kwa hii elimu nimeipata kupitia chanel hii shukrani sana.

Dutchez
Автор

Huyu mzee leo nimeona kwa jua kali wallah mzee makosa yuko na kipaji tunaomba jua kali wazidi kufanya kazi nae wamshike mkono

alipizaro
Автор

Big man. Nakuombea Mungu akuinue tena.

isaackkulije
Автор

Imagine if this man was a MP of his county or province at his time, .he would have change his village into a city in a year...may Allah rise again 🙏

isaiahun
Автор

Hakika Mungu ni wetu sote Mungu atamuinua tena 🙏🙏

deusmkalava
Автор

Nimemsikiliza huyu mzee mwanzo mpaka mwisho hakika sisi binadamu tungekuwa na roho na moyo kama huyu mzee bhas binadamu tungekuwa tunaishi kwa upendo sana na kusaidiana, MUNGU akuweke sana mzee wetu tumejifunza mengi kupitia kwako

issasaad
Автор

He is very perfect, I wish to meet him face to face.

brounmdemu
Автор

❤❤❤❤ mzeee wangu umenifunz kitu ahsant sana ila mungu anakuon

justinidaudy
Автор

Na kumbali sana maneno ya mzee makosa sana

bestonmambo
Автор

mashaaallah anajua kiarabu vizuri mashaallah. taali hin

fatumasaid
Автор

Makosa amenikumbusha story ya Nabii Ayubu. Kama MUNGU alivyomkumbuka Ayubu kwa mara ya pili, nawe akukumbuke baba.

Lakini pia tuwe makini ktk kuchagua majina. Tunaona kuwa ni kitu kidogo lakini kina maana kubwa sana. Baada ya MUNGU kumbadilisha jina Abraham na kumuita Ibrahim, mambo yalibadilika na ikawa tafsiri ya maisha yake yote yaliyobaki. MUNGU pia alimbadilisha mke wake Ibrahim kutoka Sarai na kuwa Sara(Mama wa Mataifa).

Nadhani kitendo cha kubadilisha jina lake na kujiita MAKOSA alikosea sana kwani maana ya jina imeyatafsiri maisha yake.

namri_namri_namri
Автор

Mzee Makosa Mungu Anakuandalia Kitu Kizuri Zaidi ya ulichopoteza🎉

gastonamnon
Автор

Mzee anaongea lingala vizuli sana. He is smart and he can rise again.

hamuniyonkuru
Автор

Kikongo ameongea poua sanaa daaa big up sanaa mzeee

sabrinakado
Автор

Makosa mtu mzuri sana...Allah amjaalie kheri na mwisho uliomwema

HafidhAbbas-gw
Автор

I was Attracted with u Mzee makosa it seems ur a good and wisely

junioremmanuel