Diamond Platnumz - Kuna (Official Lyric Audio)

preview_player
Показать описание
Download The Song👇👇👇

Diamond Platnumz is back with another infectious hit, "Kuna," a song that brings the raw energy of the coastal Vanga sound into the modern Bongo Flava scene. This track is all about rhythm, vibe, and cheeky storytelling—packed with playful, flirtatious lyrics that will have fans singing along in no time.

With its catchy call-and-response style and irresistible beat, "Kuna" feels like a celebration of Swahili culture and coastal traditions. Diamond’s signature charisma shines through as he blends humor, streetwise wit, and addictive melodies into a song that’s impossible to sit still to.

From the clubs to the streets, "Kuna" is that kind of song that brings people together—whether you’re dancing, laughing, or just vibing to the beat. This one is guaranteed to be on heavy rotation!

Diamond Platnumz Booking Info:

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Diamondplatnumz #Wasafi #music
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asee imepita miaka mingi sana Haina hii ya mziki atujasukia asee .. love you brother this is is legit son ever ... 100m likes Kwa hii ngoma

Don_Will.i.am
Автор

KUMBUKA wazazi wako wanakuombea upate NDOA njema.

Wakiamka ASUBUHI kwa magoti wanamuomba MUNGU kwa kulitaja jina lako.

Wakati fulani wamefunga mfungo wa machozi kwaajili yako upate FAMILIA.

Acha starehe za Dunia, Achana na waume za watu wa wenyewe, Tulia Mungu ajibu maombi yao

SONIC_TZGrammys
Автор

One thing about this artist Diamond is that he never disappoints. Keep singing, my dear. I'm following you from the Ivory Coast 🇨🇮. God bless and protect you and everybody reading this comment now.

elysee_daleba
Автор

Nimeipenda huu wimbo sana ..dakika kumi meseji tupu na taarifa nimemkubali platinumz saaana

simonnjogu
Автор

Diamond Diamond Diamond, nimekuita mara ngapi, we ni mnoma bana❤🙌💪🔥👏🇰🇪

kijanayaaput
Автор

The GOAT on his mission damn my G, Alikiba anabebwa na Media ili kufiki hype hii ila still anapuyanga, Miaka zaidi ya 11 Diamond media za nyumbani zimekuwa zikikutenga na kubeba alikiba ila Still wameshindwa kumuangusha huyu G.O.A.T. miaka zaida 17 kwenye Sanaa yake and he still going strong asf, Mungu akuongoze sana Nasibu vita ni vingi sana juu yko ila Mkono wa Mungu upo na ww siku zote, Tanzania & East African Icon of All the Time #Hawakuwezi

mbesherejoh
Автор

Tumrudieni mungu, tuombe msamaha kwa mana mauti huja

OmarMakorani-jg
Автор

Tuzidisheni ibada waja wa Allah, , , kifo chaja ghafla sana skuiz ndugu zanguni, , , !!!

MasoudMakanya
Автор

Jamani siichoki ety nyimbo ya ajabu pia nzuri sema mond atawauwa wapo. Nipe like zangu 30 tyu

NeemaMomba
Автор

nyimbo dakika 10 ni sawa kaimba ngoma 3 za upande wa pili jamani huyu mond kashindikana😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼Haya waige na hii sasa mduara 🎉

plantamedia
Автор

Diamond Platnumz, is a precious stone.. Simba is a king in the jungle. I will never wonder why Diamond Platnumz is always the best artist in Africa 🌍🙏🎉🎉

PatrickDMwantimwa
Автор

Duuu... Huyu msanii ameshindikana... Salute Sana... Sipati picha kideo chake

mwandishisaidkaita.
Автор

Diamond, Diamond...kweli ww ni Diamond...Nasibu walikusingizia tu bro..Ww ni Diamond

leonardmulimila
Автор

Jamaa kaua shida anaenda na alama na wakati hongera sana watu wa pwani umetukosha hii kwenye harusi au kwenye singo itatumika miaka mingi sana na hii nyimbo kauaa hongera. Sana platnums

abdullatif
Автор

Mxhukulu mungu kwa kila hatua sema ameen

HarunaMacomputer-ou
Автор

Huyu diamond platnumz 🦁 kila uchao anawavuruga wenzake, , maana kila mtindo wa mziki yumo🔥🔥🔥🐐🐐

princemusa
Автор

Simba is back ..gonga like apa ..love from 🇿🇦

BIGIBEEX
Автор

Beautiful song.
Sending my ❤ from Somalia to my East African brothers and sisters.

abdisalamaato
Автор

Kiukweli acha nikubali Diamond he is Number one Musician in Tanzania amenishinda tabia 🙌🙌🙌

allyngimba
Автор

Hii nyimbo itatamba Sana apa Mombasa Kenya🎉 pwani😍

Stevecoastkid
visit shbcf.ru