Fimbo Ya Musa (Live)

preview_player
Показать описание
#FimboYaMusa #UlichonachoMkononi #NMC

Karibu kuitazama Fimbo Ya Musa (Live)ulioimbwa na Nyakato Moravian Choir (NMC) Mwanza.
Mungu akubariki unapotazama na kusubscribe katika Channel Yetu.
Audio: Nmc studios
Video : kababah Digital Media
Directed by : kababah

Be blessed
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kazi nzuri mnoo
Hakika ulichonacho kinaweza kuyafanya makubwa

godfreysamwel-tmmz
Автор

Schoki kusikiliza huu wimbo aisee Huduma yenu ni njema sana Mungu azidi kuwainua viwango hata viwango hongereni sana sana

lucyswila
Автор

Mungu awabariki sana watumishi injiri yenu ni njema sana

doricekafuku
Автор

MUNGU azidi kuwatunza katika ukuu wake na mzidi kuendelea kuifanya kazi yake kwa uaminifu

magembemichael
Автор

Tumewamiss sana wapendwa kutoka paradise choir

kamlabsurgical
Автор

Mna fanya kazi nzuri sana. Mungu na awa namba ya huyu mwalimu anae imba musa

nyaberielijah
Автор

Karibuni tena Bujumbura wandugu! Tunawapenda sana!

msc.ing.ericmpayimana
Автор

Kazi imejaaa utukufu wa MUNGU, , , , barikiwa sna NMC🔥🔥🔥🔥🔥

obadiafredy
Автор

Hatarii...
Wimbo umejaa utukufu hadi nywele inasisimka, Message, stage perfomance, sound en instrument viko well organized... May God bless u NMC

mtawaahmad
Автор

Najisikia fahari kusikiliza kwaya yangu

rossemasanja
Автор

Mungu awe nanyi mnao toa muda wenu kwajili ya injili yake ifeke mahali pote duniani

isacksteven
Автор

Kazi Nzuri mno Mungu awabariki sana kwa huduma hii

aminamwakabungu
Автор

Yesu awabariki mno Nyakato Moravian Huduma yenu Mungu anaitambua mzr mwonekano mzr jukwaaa safii kila kitu kiko pahala pake dah takuja niwaone live

gordonpaul
Автор

Nice song. Mungu azidi kuwabariki sana.

rachelsimon
Автор

Mungu azidi kuwabariki na kuwatumia kwa ajili ya utukufu wa jina lake NMC, KAZI NZURI

nellyedwin
Автор

George Paschal na shedrack stanslaus Mungu awabariki

makangamakanga
Автор

Mungu awabariki watumishi kazi nzuri Sana

maggiemwasie
Автор

Mungu awabariki sana kwa huduma watumishi wa bwana

queenchulle
Автор

George Paschal na shedrack stanslaus Mungu awabariki

makangamakanga