Fid Q - SUMU (Official Video)

preview_player
Показать описание
#FidQ #Sumu #SlideDigital

FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Fid Q

Follow Fid Q on

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

""Hawaamini kwenye kuunda Diamond au Kiba wawili, wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili.. "" Shikamoo Fid Q

saviongaila
Автор

kenyan here. and I say TZ has the best rappers in Africa. none other.

jayokal
Автор

Wabongo wa majuu hamna upendo mnajigawa🙌

Fid q is simply my world's best emcee

andrew-kitwanambogger
Автор

Cha kupewa hakishibishi, ukipewa lazima ukumbushwe... Ndio MKUU 🔥🔥

autogenius
Автор

Niko Mombasa Kenya and I give Hi5 to Fid Q "The one en only straight forward Rapper in Africa without grudges." His Music is superb, His words of knowledge, educates, His appearance is cool, He remains impact to the game. He is a true Mirror

bilaljuma
Автор

Dahh..Mkuu kwakuwa Jina la DARASA limeshachukuliwa naomBa tu nikuite ww MWALIMU MKUU...Asante kwa kuendelea kutupatia elimu..SALUTE kawako...."Mungu akupi UNACHOKITAKA anakupa GOOD TANZANIA MUSIC ALIVE. #KGTMA

josephutonga
Автор

Dah Hii Ndio Aina Ya HipHop Nayoitaka Kama Large Professor, Mkito Heavy, Mashairi Nondo Namkumbuka CL Smooth, Saxophone Maridhawa Kama Nasikiza HipHop Jazz Beat Ya Pete Rock

idreamfoto
Автор

"Ukiacha hisia zikwendeshe kwa ujeuri utaishia kufeli sababu neno la kweli sio zuri na neno zuri halina ukweli". Fareed Kubanda a.k.a Fid q, Ngosha the Swagger Don tajiri wa mashairi na floo!

paulkennedy
Автор

Fid Q has been my favourite rapper over 12yrs now.. am a Kenyan, in USA... mistari jammaaa ameiva kuiva..
I PUT YOU ON A MAP.

jacksonnyarangi
Автор

wanataka vtu rahisi
mi nawapa vtu halisi
na cyo bi dada kama IDRIS
🙌🙌🙌🙌

marymatina
Автор

The only 🇺🇬 Ugandan here that feels this music...ur the best

rogerROJA-gi
Автор

wabongo wa majuu wanajigawa.SIO KWELI.ila kumbuka ni asilimia ndogo sana ya wabongo walioko mamtoni[EU & USA..continents ni kubwa..hivyo hawawezi kutana daily kama uswahilini..fanya risachi fresh..ngoma kali Tho.. #KingBidder

kingbidder
Автор

Damn hats off Fid Q-Life doesn't gives you what you want, life gives you what you go for.Mistari zimeenda shule Ngosha the Don ---watching for the 7th time[Repeat Mode].

vicmassluodollar
Автор

Ndo wanaanza kuelewa somo walikuweka kwenye best rappers Africa in hali haukuwa na vyuma vinavyorukwa kwaoYOUR THE BEST RAPPERYOUR HIP-HOPYOUR NGOSHA

erickfestor
Автор

"Asienihitaji simhitaji". Fid q unajua sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

irenekalinjuma
Автор

Fid Q ni msomi. .am from kenya and wanna give some good love to fid Q for the fact that he featured in a clip where#patricklumumba from kenya gave a historic speech about panafricansim ...kwame nkurumah...Julius kabarenge nyerere...haile sellasie..samora machel.mjust to mention a few..fid q will one time be remembered for real hip hop revolution in tz alongside proff jay

kiokomutua
Автор

ni kweli aliemtia umasikini africa leo analia kwa yanayomsibu mashairi yako mkuu mpaka uwe mwana falsafa kuyatafuli best song beg up brooo

manjalejuniorlg
Автор

conscious rap is always underrated new rap is always praised, i wish wajue what have you spoken humu mda mwingine ilibidi nirudie mara 3 ili nielewe mstali ands thats conscious rap all the best.

DsillyTv
Автор

Fidq the 1st best artist in the world 💪

EzraKatambi-gb
Автор

Nimekubaliii ngomaaa kaliii umetishaa fid Q ww ni

minedwesse